المدة الزمنية 12:5

MGOMBEA Urais CHADEMA Ajitokeza HADHARANI, ADAI Anatosha KUPEPERUSHA BENDERA Uchaguzi MKUU

بواسطة Global TV Online
29 684 مشاهدة
0
94
تم نشره في 2020/05/25

MGOMBEA Urais CHADEMA Ajitokeza HADHARANI, ADAI Anatosha KUPEPERUSHA BENDERA Uchaguzi MKUU! Mwanaharakati na mwanachama wa chama cha (Chadema) Mayrose Majinge ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.. Mayrose amesema kutokana na umahiri wake wa kuchapa kazi pamoja na maono yake ya kuleta maendeleo kwa watanzania anaamini uwezo alionao chama hicho kitampa nafasi ya kusimama kuwania nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi mkuu mwaka huu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 384