المدة الزمنية 6:41

SEMA NA MOYO WANGU by MIRIAM LUKINDO WA MAUKI

بواسطة Miriam Lukindo
372 398 مشاهدة
0
1.5 K
تعليقات - 108
  • @
    @eliasmhagama4978منذ 2 سنوات BWANA YESU akutunze na azidi kukuinua katika huduma njema aliyoweka ndani yako. Barikiwa sana 1
  • @
    @reginaldipeter2272منذ 2 سنوات Hallelujah hongera Sana Wimbo umekuja kwa wakati kwangu ASANYE 1
  • @
    @mercychepkirui3924منذ 5 سنوات so touching song, may God bless you my sister
  • @
    @ajeofficial1العام الماضي Barikiwa sana
    Na mungu aseme na moyo wako
  • @
    @anaclethmeshack7944منذ 2 سنوات Tunatamani urudi katika uimbaji huu unaomtukuza Mungu kuliko ujinga ulioufanya kwenye nyimbo zako wa lango pamoja na fire.
  • @
    @jelesjames3510منذ 3 سنوات Saut nzur sana,,, wimbo wako pia unanibariki Sana . Mungu azidi kubariki kipaji chako
  • @
    @damariskabei7053منذ 5 سنوات This song always breaks me.ooooh Lord speak to me 1
  • @
    @princesslowasa5233منذ 7 سنوات nice song it bless my life.Jesus say in my heart love it bless you Miriam
  • @
    @videogospel995منذ 6 سنوات wow.what a beautiful song. I feel blessed
  • @
    @lulufalagha4693منذ 6 سنوات Uh nakumbuka nilipokua mtoto Mdogo nilikua nauskiza huu wimbo kwa kanda uklinibariki tangu utoto mpaka sasa utu uzima bado nabarikiwa 1
  • @
    @emilianamassawe8583منذ 6 سنوات Sema nam yesu sema na watoto wangu mungu uwiiii dada ubarikiwe mungu akubariki sana uduma yako yauimbaj ifike levo ya juu sema na taifa letu la Tanzania
  • @
    @zakayoseeko5770منذ 6 سنوات Sema na moyo Wangu bwana ubarikiwe mtumishi wa mungu kwaujumbe mzuri
  • @
    @wakalingati6627منذ 6 سنوات Sema na moyo wangu bwana. be blessed my sister. 1
  • @
    @bitonmwansile7377منذ 6 سنوات Ameen wimbo mzuri saana + uimbaji mzuri unabariki saaana
  • @
    @magejoseph9258منذ 4 سنوات Baba sema na Moyo wangu sema nami Baba kwani Majalibu Ni mengi sema na Moyo wangu Baba
  • @
    @lucypenfod8516منذ 6 سنوات Amina sema na moyo wangu baba barikiwa sana 2
  • @
    @lucybenjamin9540منذ 6 سنوات sema na
    sema na
    sema na moyo wangu
    sema na
    sem na
    sema na moyo wangu
    .be blessing.
  • @
    @elizabethmyamba766منذ 6 سنوات sema na moyo wangu juu ya maisha yangu baba
  • @
    @libarikiarajacksonمنذ 6 سنوات ubarikiwe sana Dada angu entelea kwabudu
  • @
    @a2gmgimwa3منذ 6 سنوات Amen, Rebeca malope wa bongo umeshapatikana
  • @
    @martinshirima2303منذ 6 سنوات beautiful rhythm corresponding bit fun
  • @
    @happybalama3591منذ 6 سنوات naupenda sana nikitaka kuomba huwa nauimba sana
  • @
    @newtonerwaga3401منذ 8 سنوات I come from a very small Town in Uganda that is called Moyo.