المدة الزمنية 26:14

KINARA WA FORM IV 2018 AWATOBOLEA SIRI WATAHINIWA WA KIDATO CHA NNE 2020

315 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/11/20

Aliyekuwa Mwanafunzi Bora wa Kidato cha nne 2018 ambaye alivunja rikodi ya zaidi ya miaka 30 kwa kupata matokeo ya Division one ya point 7 kutokea skuli ya Lumumba Nd. Hassan Hamid Ussi ambaye kwa sasa anaendelea na masomo yake ya kidato cha Tano katika Skuli ya Lumumba alivyoshiriki katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA cha ZCTV Kilichoruka hewani 19 Novemba 2020. Mazungumzo hayo pia yalimshirkisha Mkurgenzi wa Green Light Foundation Nd, Rashid Moh'd Rashid

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0