المدة الزمنية 5:11

KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU | PRESHA KUSHUKA:Dalili, SababuMatibabu

بواسطة WikiElimu
13 006 مشاهدة
0
115
تم نشره في 2020/06/22

Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana kuliko kawaida. Hii humaanisha moyo, ubongo, na sehemu nyingine za mwili hazipati damu ya kutosha. Dalili zinaweza kujumuisha: • Kuona maluweluwe • Kuchanganyikiwa • Kizunguzungu • Kupoteza fahamu • Kuhisi usingizi • Uchovu/ Kukosa nguvu KUJIFUNZA ZAIDI *Website:http://wikielimu.com/index.php?title=Kushuka_kwa_shinikizo_la_damu TUFUATILIE HAPA *Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_rdc=1&_rdr *Instagram:https://www.instagram.com/wikielimu/ *Twittwer:https://twitter.com/hashtag/wikielimu MUSIC CREDIT *https://www.bensound.com ASANTE KWA KUWA NASI

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22
  • @
    @jegaboyboyjega4648العام الماضي Asant san kwa ilo somo yan kam umeniandalia mm
  • @
    @mtaalamshekidele1661منذ 4 سنوات Kazi nzuri daktari maelekezo mazuri kabsaa 2
  • @
    @odettajames1025منذ 4 سنوات Baba anadalili kama izo kila akienda ospitali awaoni ugonjwa tufanye je naomba msaada
  • @
    @mukeragabilodiana9391منذ 3 سنوات Je ukiwa na ugonjwa wa shinikizo wa damu unaweza kutumia tunguru swaumu