المدة الزمنية 1:2:18

Filamu za Kikristo “Kabla ya Uchaguzi” | Who Does She Vote For (Swahili Subtitles)

576 مشاهدة
0
105
تم نشره في 2020/10/01

Filamu za Kikristo “Kabla ya Uchaguzi” | Who Does She Vote For? (Swahili Subtitles) Zhou Qingyu ni kiongozi wa kanisa ambaye ana ubora mzuri wa tabia, ni hodari na amefanikisha matokeo mazuri katika wajibu wake, na anapendwa na ndugu zake. Uchaguzi wa kanisa wa kila mwaka unapokaribia, ana hakika kwamba atachaguliwa tena. Wakati huo, kiongozi wa kanisa katika mashariki mwa jiji, Yang Jie, anaporipotiwa katika mkutano na kusakwa na CCP. Anatoroka na anapewa wajibu fulani katika kanisa la Zhou Qingyu, na baadaye yeye pia anajiunga na uchaguzi kama mgombea. Baada ya muda mfupi, Zhou Qingyu anagundua kwamba ndugu wote wanataka kusikia ushirika wa Yang Jie na wanamsifu kwa kuwa na uhalisi wa ukweli, na anamwonea wivu. Ili kulinda hadhi na sifa yake mwenyewe, Zhou Qingyu anajionyesha, anajaribu kumtenga Yang Jie, na anajikuta akidhibitiwa na tabia potovu ya kushindania sifa na hadhi. Je, Zhou Qingyu anaondokanaje na vizuizi na utumwa wa kutafuta sifa na hadhi? Na uchaguzi unakapokuja, atawezaje kupiga kura yake? Tazama Kabla ya Uchaguzi ili ujue. Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1 App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528 Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1