المدة الزمنية 22:59

LIVE: Mazoezi ya Simba SC kutokea Mo Simba Arena

بواسطة Simba SC Tanzania
74 286 مشاهدة
0
949
تم نشره في 2020/05/29

@simbasctanzania25 #SimbaSCTanzania #SimbaSC #SimbaTV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 110
  • @
    @azekieltv7977منذ 4 سنوات Kama umemsikia GERSON FRAGA akisema HABARI ZA ASUBUHI gonga like hapa 33
  • @
    @allyseif3237منذ 4 سنوات This is what we need simba fans, simba nguvu moja 8
  • @
    @mrikongosi3151منذ 4 سنوات Jamani mwenye namba ya chama mwamba wa lusaka amwambie akodi hata boda tu arudi tumalizie kipolo chetu simba nguvu moja 4
  • @
    @msambaawize3818منذ 4 سنوات Mo simba arena hyooooo simba chama kubwa
  • @
    @richardmallya3906منذ 4 سنوات Faraha sana kuona SIMBA SC TANZANIA (Father of Football) wakijiweka tayar kwa maandalizi ya ligi. 3
  • @
    @jamesmwijage7194منذ 4 سنوات Kazi imeanza kila LA kheri vijana wetu 2
  • @
    @hassanihassani8659منذ 4 سنوات Daaaaa hao wamba mbona washaanza kua na vitambi walikua wanapga tizi kweli,I love you simbaaaaaaaa mnyamaaaa 1
  • @
    @jasminegabriel4247منذ 4 سنوات Maisha yangu yote hapa duniani ndaipenda simba mbaka mwisho this is simba nguvu moja 1
  • @
    @linnadeo4056منذ 4 سنوات Nyie laleni wenzenu washaanza mazoezi badae ooooh marefa wanapendelea simba 1
  • @
    @katutusaidi6223منذ 4 سنوات Nic simba sports club in tanzania most africans 1
  • @
    @jaffarijaffa7402منذ 4 سنوات Camera man tulia. ..kuwa professional. ..afu acha kuchukua view za mbali. ..tunataka kuwaona fresh wachezaji wetu 9
  • @
    @jeniferjoseph3575منذ 4 سنوات Hila we fraga wewe yani unatusalimia heti habar zasubuhi 8
  • @
    @yohanahabely2843منذ 4 سنوات Inapendeza sanaa. Lazima kuwe na utofauti ya sisi na wao. 4
  • @
    @peterkasele8956منذ 4 سنوات Wana simba furaha yenu mwisho mwaka huu
  • @
    @augustinongereja5283منذ 4 سنوات Camera man unayumba waambieni wachezaji wanatakiwa kufanya nini kabla ya kuanza kurekodi. Hatutaki sauti kuwa professional kaka. Ila yote kwa yote kazi nzuri. 1
  • @
    @jacksonmsele1500منذ 4 سنوات Mungu ninakuomba kwa moyo wangu. Baba isaidie simba wawe na uwezo wa kubuni na kuzalisha mapato mengi kwa klabu. Ili itoe ajira kwa watu wengi. SIMBA NGUVU id="hidden2" class="buttons"> MOJA KWA UPENDO TUTAFANIKIWA KUCHUKUA LIGI FA NA CAF PIA. BY SIMBA ORG KAHAMA ....وسعت
  • @
    @kalolibenedictor6319منذ 4 سنوات tutaelewana tu, ila fanyen kuongeza camera 3
  • @
    @ramafakihi2821منذ 4 سنوات Simba ni kma taasisi tunataka camera zenye high quality ili tuweze kuona kila kitu co kubahatishia ty
  • @
    @danielchristopher3306منذ 4 سنوات Kam umsikia w mnyarwanda bong like twend saw
  • @
    @zabronnkoy4908منذ 4 سنوات Huyo Tairone kingereza hajui na Matola kireno hajui .. pale walikuwa wanaelewana kweli ? 3
  • @
    @richardmallya3906منذ 4 سنوات SIMBA SC TANZANIA Is The Father of Football in Tanzania. Who can withstand his wrath.
  • @
    @andrewmbilizi7417منذ 4 سنوات keep going but camera haijatulia why??
  • @
    @dennismalima5365منذ 4 سنوات Tunamaliza Data limtu linarusharudha camera mamaeee.. Be professional, na hao players wafundishwe kushow love kwenye camera 7
  • @
    @oscalaelias3114منذ 4 سنوات camera man kuma mama yko hujui kutuliza kamera yani km tuna angalia vibonzo msyuuu
  • @
    @diocreshezron4087منذ 4 سنوات Jaman wana nguvu moja tu subscribe channel yetu ya simba utopolo wasituzidi 3
  • @
    @angumbwikemrope4565منذ 4 سنوات I like my club please keep it up @prince_mrope 1
  • @
    @masoudseif4962منذ 4 سنوات Wahusika tunaomba Camera zenu muchukue vizuri Video. Ili ziwe na Ubora
  • @
    @richardnjau362منذ 4 سنوات Namuona huyu mnyarwanda anashangaa mjini tuu
  • @
    @wolfugangtesha5724منذ 4 سنوات Naona sasa hivi mnafanya vizuri kipande cha You Tube
  • @
    @frankathanas3054منذ 4 سنوات Mbona pamechoka mapema hivi wanaotunza viwanja hivi wapo??? Nakama wapo watafakari kwanini pamekuwa hivi 2
  • @
    @barackmoses7003منذ 4 سنوات Kuna watu wanatamani uwanja huu uwe wao wale kwa macho tu
  • @
    @lightzamba3392منذ 4 سنوات Mnawalazimisha wachezaji kuwasalimia mashabiki wakati hawana dhana hzo haijakaa poa
  • @
    @dutchsafari7562منذ 4 سنوات Simba _Moja kama huja subscribe bado fanya hivyooo tufike hata 30k hapo Utopolo wametuzidi Wana 37.9k kwenye youtube wanasimba tunashindwajeeee.. 9
  • @
    @sm5tvمنذ 4 سنوات Cameraman Una mambo mengi daah camera haituliii daaaaaah
    Simba timu kubwa camera kubwa za kisasa zinahitajika hapo zenye uwezo mkubwa jaman
  • @
    @galatonemedia5958منذ 4 سنوات Kama umemsikia fraga na Kagere wakisema HALLOW WANAMSIMBAZI subscribe kweny link hii https://youtu.be/6s3ZoVC_Eko 2
  • @
    @naseebchikoka3874منذ 4 سنوات Camera man anazingua anatembea kama anashoot ndoa timu kubwa kama hii inakuaje na camera moja
  • @
    @stevemwakisimba5986منذ 4 سنوات Subiri miaka mitano hesabu itoke hapo!billion 20itakua imekwisha hahahaha hicho kinengo nini choo?
  • @
    @mahupaabdul1455منذ 4 سنوات Unaposema Club kubwa iwe hv. Viwanja vyako, mazingira kama hv. Hakika cc ni next level 1
  • @
    @hamismwangi4642منذ 4 سنوات Camera man anachezesha sn camera haitulii 1
  • @
    @receptionzanbluu3656منذ 4 سنوات Wakumwangalia hayupo tatizo ndomana kamera haitulii, peleka mb zako kwa morison uburudike 1
  • @
    @sadamsuleiman8484منذ 4 سنوات wanaume kazin gonga like kama unalkubali chama 5
  • @
    @oscalaelias3114منذ 4 سنوات camera man wew hujui kazi yako wew unashindwa hata kuweka stend muda wote camera inacheza cheza tu.stupid
  • @
    @afyandogoمنذ 4 سنوات wachezaj wetu changamoto sana hasa hawa wakitanzania angalia mtu kama santos kaambiwa salimia mashabiki kafurahi kabisa ila unakuja kwa mtu kama manura id="hidden4" class="buttons"> anaambiwa salimia mashabiki hajibu lolotenchi zilizoendelea wanahamasisha umoja baina ya timu na wachezaji ila hawa wetu kama uaduibadilikeni ....وسعت 1