#sirizabongo
Inasemekana aliyekua mkuu wa mkoaDar Es Slaam Paul Makonda Kukamatwa na Polisi Tanzania kwa ajiri ya mahojiano zaidi kwa kipindi cha uongozi wake kunyanyasa watu!
@ayishaayisha8053منذ 3 سنواتMhm mungu wangu.jamani tanzania aibu kila siku.
@
@louisnyoni4139منذ 3 سنواتHuu utawala wa mama, unalingana na kiapo alichokula cha kufuata utawala wa sheria watanzania tunamtakia maisha marefu mama samia suluhu, kwa sababu sheria id="hidden1" class="buttons"> zipo kwa nini utoke nje ya utaratibu kwani sheria tulizojiwekea hamuwezi kuzisimamia na kama mnaona hazitoshelezi pelekeni bungeni zikalekebishwe, sio kutoka nnje ya mstari na ukiona MTU anakuwa kama hawa wawili ujue wana yao mambo. ....وسعت1
@
@noelporcalp7980منذ 3 سنواتKuliko kuandika uzushi bora ukalime fungeni tena vyombo hivi vinavyotoa habari zisizo sahihi
@
@aypoul107منذ 3 سنواتAcha uongo unatangaza jambo ambalo watunwanasema silo umeloona
@
@kamchachaslashy2124منذ 3 سنواتwamkamate na ba mkubwa mbona ye hawamsemi KATIBA MPYA
@
@bigbossimamausimamishweupe2981منذ 3 سنواتNenda kwa mpalange Kama umeshindwa utangazaji
@
@christophermhanze2788منذ 3 سنواتKuna mambo mengi sana huwa ya nafanyika na viongozi wakubwa lakin rais huwa anachelewa sana kugunduwa mpaka anavogudua watu wameumia.mama atulie atayaona mengi sana !! 1
@forestynjombeiringatunteme5659منذ 2 سنواتHuyu mwandishi na mtangazaji Mpumba vu kweli Sabaya alibaka nani? Hivi kwa akili ako timam SABAYA MKUU WA WILAYA na Mwenye Mke safi na Mzuri useme alibaka id="hidden3" class="buttons"> wanawake! Unaelewa mana ya Kubaka? Pumbavu huna akili. MAKONDA mumuache hafu we mwandishi kama mnafiki hivi, Makonda alifanya kazi nzuri sana kwa lengo la kuliacha Taifa kuwa salama. ....وسعت
@allymjenga7456منذ 3 سنواتWale wanaonzisha taarifa za uongo na wale wanaosaidia kuzieneza bila kuthibitisha wawajibike.
@
@malebobutakila7101منذ 3 سنواتNaaombe viongozi waoote wa nchi yetu Tz ,wawe na afya njema.
@
@omaryhassan9528منذ 3 سنواتMakonda ulikuwa komandoo wa kufuta madawa ya kulevya hongera kwaihilo ulikuwakiongozi imara 1
@
@mwanumwanu1513منذ 3 سنواتHiyo ni vita ya madawa tu hamuwez kutuambia lolote 1
@
@mohamedabdallah2257منذ 3 سنواتKama ni kweli aende tu Mana alizidi Sana huyu jamaa !! 2
@
@nelsononyango5920منذ 3 سنواتMungu ameshuka waofu na wauwaji kuangamizwa juzi mkuu wa boko haram wacha suluhu atoe suluhisho kwa uofu je hapa kenya kukoje?
@tatoorashedi1787منذ 3 سنواتHawa wanaume acha ww mtangazaji unaeongea pumba unaushahidi mbona hamkuongea kipindi cha matukio
@
@azizaaziza9113منذ 3 سنواتUmbea wako muwe mnayahakikishà ndipo muyafikishe waanďishi km hawa ni hatari sana
@
@shijalameckmpemba4529منذ 3 سنواتMshezi huyu mwandishi , amekamatwa baba yako alikuwa ana zini
@
@yohanapetro4937منذ 3 سنواتMama Samia Oye pigakz ili 2heshimiane wote tujue Kama shelia Ipo Nahakuna Alie juu yashelia Sabaya Afungwe miaka 25 Makonda 27 Tena bila dhamana 3
@
@jumamnumbwa9483منذ 3 سنواتJamani mbona kama naona nchi mbili hizoooooo 1
@
@kennyrogers4734منذ 3 سنواتTuonyesheni video kama alivyoonyeshwa live kama tetesi msitoe habari za tetesi bc mtasambaza ujinga mitaani em fatilieni mtupe habari za ukweli wadau acheni tetesi 1
@
@georgebenard3923منذ 3 سنواتNdo maana mlifungiwa vyombo vyenu, waeleze wajinga makonda hana wala sabaya, sisi tunajua iyo ni ile vita ya madawa 2
@
@nivicaspect3597منذ 3 سنواتMhh. WE UMESIKIA WAPI. INASEMEKANA maana take nini. Pamoja na uwongo wako hongera maana angalau umeanza kuongea KISWAHILI. Kutoka kusema "LAISI" had "RAISI" sio mchezo. 2
@katapgelvas9803منذ 3 سنواتPole yake makonda kwakuondokewa na magufuli walikusifiya leo hiiwanasema ulihujumu serikali mwisho wasiku kaburi litawekwa minyororo RIP umemuacha matatani makonda mungu anakuona
@
@zenaabdallah3797منذ 3 سنواتJAMANI SERIKALI TUACHE VISASA KWA VIJANA WETU HAWA VIJANA WAMEKOSA NN?MBELE YA MUNGU.RAIC WETU HAWA NI VIJANA WAKO NI MAJEMBE YA KAZI WAANGALIE KWA JICHO id="hidden7" class="buttons"> LA HURUMA.HIVI WAO WAUE BILA HURUMA KWANI WAO HAWATAKUFA ?HUU NI UONGO NA UZUSHI KUWADHULUMU HAKI ZAO. ....وسعت
@
@samweliclementmakala7381منذ 3 سنواتMamaaaaa. Uko vzur walinyanyua mabega mmno hao hakuna alie juu ya sheria hongers. Msma samia tengeneza tz mpya lete matumain kwa watznia
@
@dullazero7465منذ 3 سنواتNilitarajia uyu angekua wa kwanza kukamatwa
@
@msetikebwasi1469منذ 3 سنواتSamia akitaka tumwelewe vizuri basi awakamate wazee wa vijisent na aliyesema kama ni majani mtakula lakini ndege ya rais inunuliwe na ndege ikanunulia mbovu . 1
@
@faustinemavere1450منذ 3 سنواتHivi nyie waandishi wa habari mna nini na makonda pumbavu zenu mlikuwa wauxa madawa ya kulevya hamjitambui kabisa 1
@
@geraldmosha8068منذ 3 سنواتhizi chaneli zingine cjui mamlaka zinaona au hazioni??? kila TCRA wanasema wanadhibiti mitandao yakijinga km hii lakn bdo tu tunaona wanapost upuuzi
@
@luckygmdegela8477منذ 3 سنواتIla hizo habari ni za uongo , hayo yote mbona hatukuyaona watu wa dar , waongo nyie na sabaya mme mtengenezea zengwe za ajabu 1
@
@gervasinjawi1639منذ 3 سنواتKikwete na mtoto wake liziwani wasichwe hapo ndio tutaona sheria ni msumeno maana nao waliiujumu nchi na walishs tenda unyama kuwafanyia kina babu sea,
@
@amanimanase8799منذ 3 سنواتKamuona makonda mbona kikwete hamuoni huyo raisi ni k
@
@mpingeally923منذ 3 سنواتSasa samia kwani alikuwepo wapi kipindi icho salikuwa nao hao sasa mbna analeta michongo siyo samia suluhu ndiyo muhusika wa haya mambo yote
@
@nyamizibema6078منذ 3 سنواتMakonda hakuwa hivyo , acheni kuzua Mambo, kawaida mchapakaxi hapendwi,we mama hao unaowatesa leo ,ni watoto wa wanawake wenzio,!!!! mnaomchukia /mnaowachukia ndiyo wapiga dili?? Wekeni chama chenu rehani
@
@yusuphfesto1931منذ 3 سنواتHakuna kitu hapo sema ni mafisadi wamepata mwanya wa maovu tu,Jpm njoo uone mambo yashabadilika utatoa machozi na wanyonge wote
@
@alexkabale8772منذ 3 سنواتNikweli makonda alimteka dewiji ahukumiwe2 mungu anamwona
@
@husseinkinduu9661منذ 3 سنواتNi sahihi kabisa kwa kinachoendelea, ifikie wakati ambapo kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Kama alikosea ni lazima sheria ifuate mkondo wake bila kuangalia id="hidden11" class="buttons"> kuwa alikuwa na wadhifa gani hapo nyuma. Ni vyema wote waliokuwa wakikosea kwa kuwa mgongoni mwa watu wasakwe na kupata stahili zao. ....وسعت
@
@shizaarfred4059منذ 3 سنواتHuu ni mpango wa kuteketeza wanaufunzi wa JPM tusubili kuona watuhumiwa wanaongezeka mfano kama allyi happy na chalamila maan ndo wanafunzi imala wa jpm ila machozi ya watz hayata wacha salam 1
@
@jenniphermwakasita6830منذ 3 سنواتHiserikali itakua ni ya kijinga iyache kukamata walio kwapua mamlioni hadi waziri ameingilia kati ukamate wakina Makonda wasikua na faida kweli mpumbavu ushangilia uninga
@
@simonlulenga7062منذ 3 سنواتBashite uwaruke usikubali kuwa hilo jina la Makonda ni la kwako. We waambie wamtafute Makonda wewe unaitwa Bashite.
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Masikini Utatoa Machozi Kinacho endelea Makonda Ukweli wote Mpaka Kukamatwa na Poisi, Siri nzito hii:
MAKONDA mumuache hafu we mwandishi kama mnafiki hivi, Makonda alifanya kazi nzuri sana kwa lengo la kuliacha Taifa kuwa salama. ....وسعت