المدة الزمنية 4:5

SHAMSA - Mastaa Wamenitukana wamekasirika wanasema kwani wao siyo wazuri

بواسطة Millard Ayo
45 144 مشاهدة
0
338
تم نشره في 2017/12/19

Staa wa Bongomovie Shamsa Ford ameelzea kuhusu post yake aliyopost kwenye Instagram kwa kumsifia Irene Uwoya kuwa ni mzuri kuliko wanawake wote bongomovie ambapo amesema kwamba wapo mastaa waliomtumia Message wakimsema kuhusu kitu hicho.. msikile Shamsa hapa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 135