المدة الزمنية 1:28

Mkulima wa Mahindi awasifu AGRICOM kwa kuleta Matrekta IMARA Tanzania

611 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2020/07/09

Taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) ikishirikiana na Mfuko wa Kuendeleza Sekta ya Fedha Tanzania (FSDT) wameandaa mfumo wa habari zinazohusu wajasiriamali nchini. Mfumo huu maalum unalenga kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kupata taarifa mbalimbali kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biasahara zao. SOCIAL MEDIA FACEBOOK: https://www.facebook.com/Biashara-Tv-Tanzania TWITTER: https://twitter.com/BiasharaTVtz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0