المدة الزمنية 5:31

VIJANA ACHENI KUIGA MAMBO YASIYO FAA-FADHIL MANGANYA MWENYEKITI WAZAZI TAIFA.

بواسطة MWESI TV
18 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2023/06/19

SINGIDA Wazazi nchini wametakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wanasimamia maadili ya watoto wao ili kuwa na kizazi chenye tija. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi taifa Bw,FADHIL MANGANYA ambapo amesema hivi sasa limetokea wimbo la mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana hapa nchini. Awali akizungumza katibu wa CCM mkoa wa Singida Singida bi Luci Boniface shee amemuomba mwenyekiti wa wazazi taifa kupeleka ombi la kurudisha ziara za kustukiza zitakazo chochea uwajibikaji kwa watendaji hapa nchini. Katika ziara yake katibu wa wazazi taifa amefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ikiwemo shule ya Kindiko ambapo wanufaika wa shule hiyo wakatoa hisia zao.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 0