المدة الزمنية 8:35

N/Waziri Maji Mhandisi Maryprisca Ahitimisha Ziara Mkoani Mbeya Awaachia Matumaini Makubwa Wananchi

بواسطة MbeyaYetuOnlineTV
432 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2021/07/19

#MbeyaYetuTv Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Marypricsa Mahundi amehitimisha ziara yake ya siku 6 Mkoani Mbeya kutembelea na Kukagua Miradi mbalimbali ya Maji yenye lengo la kuunga Kauli Mbiu ya Kumtua Mama Ndoo Kichwani. Ziara ya Mhandisi Maryprisca imemkutanisha na Wananchi katika Wilaya za Chunya,Mbarali, Kyela, Mbeya Mjini,Mbeya Vijijini na Rungwe na kuacha matumaini makubwa kwa wananchi juu ya upatikanaji wa Maji Safi na Salama baada ya serikali kuwekeza fedha nyngi kusaidia miradi hiyo. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema kuwa Kukamilika kwa Ziara yake Mkoani Mbeya kunampa fursa ya kufanya ziara kama hiyo katika mikoa ya Pwani,Lindi, Mtwara,Ruvuma na Mkoa wa Njombe,

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2