المدة الزمنية 40:22

BABALEVO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI/SHILOLE KURUDIANA UCHEBE/AKIPIGWA TENA ASITUSUMBUE AJITIBU

بواسطة Carrymastory
14 105 مشاهدة
0
152
تم نشره في 2020/07/22

SIKU ya leo baba levo leo ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa wamekaa kikao na wameamua Shilole alikuwa hajaijua tabia ya Mume wake kabla hajaingiakwenye ndoa hivyo kwa sasa wakirudiana akipigwa asimsumbue mtu kumpigia simu usiku wa manane.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 158