المدة الزمنية 30:37

Rangi unayoipenda ni | Jifunze Kiingereza na Akili | Katuni za Elimu kwa

34 616 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/11/27

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza! Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. /c/AkiliKiswahili/featured Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ http://www.akiliandme.com http://www.facebook.com/akiliandme Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media. https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0