المدة الزمنية 9:51

UKATILI | Mume amkata masikio mkewe kwa wivi wa mapenzi

بواسطة Azam TV
2 256 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2021/12/29

Mkazi wa eneo la Bible Mjini Sumbawanga, Doricas Richard anauguza majeraha baada ya mumewe kudaiwa kumkata masikio kufuatia ugomvi na wivu wa mapenzi baina yao uliotokana na mumewe kuhisi ana hawara baada ya kufuatilia mazungumzo kwenye simu ya mwanamke huyo kwa muda mrefu. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo baada ya mume huyo kuingia ndani na kutaka simu ya mkewe huku akimtamkia kuwa anataka kumkomesha, hivyo alimkata masikio yake kwa kisu kisha kutokomea kusikojulikana. Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema mtu anayetuhumiwa kumuua mfanyabiashara wa madini Ruth Mmasi aliyefariki Desemba 11 kwenye eneo la Njiro jijini Arusha anaendelea kutoa ushirikiano kufanikisha upatikanaji wa ushahidi muhimu kuhusiana na tukio hilo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2