المدة الزمنية 5:31

KUJIAMINI NI SILAHA KUBWA

11 308 مشاهدة
0
225
تم نشره في 2020/03/27

Kujiamini ni silaha kubwa maishani. Jenga uwezo wa kujiamini katika maisha yako ya kila siku na utaona faida kubwa katika mafanikio yako. Leo hii jifunze sababu zinazowafanya watu wengi washindwe kujiamini. Kumbuka kufahamu ni bora sana katika maisha lakini kuchukua hatua baada ya kufahamu ni bora zaidi. Basi yafanyie kazi mambo haya yanayoletwa kwako na mtaalam wa maswala ya saikolojia ya mwanadamu Mr. Kalungu Psychomotive. . Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine. . TUFUATE MITANDAONI INSTAGRAM: https://www.instagram.com/successpathnetwork . For Business please send an email successpathnetwork@gmail.com Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076 #Jiamini #KalunguPsychomotive #SPN

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18