المدة الزمنية 12:24

Utata kwisha Huu ndio wimbo Bora wa mwezi November,Waah ya DIAMOND imeshinda na kushika namba.

بواسطة Middle simba
69 151 مشاهدة
0
1.3 K
تم نشره في 2020/12/02

NB:Data za YouTube ni video+Audio kwa ngoma zote. Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #WimboboraNovember

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 538
  • @
    @youngsimbawcb1814منذ 4 سنوات ! IS A HIT.HOT.SONG.FOR THE WHOLE AFRICA STATE.♨️♨️♨️♨️♨️
  • @
    @mchagashop1342منذ 4 سنوات Diamond PLATNUMZ ndio Simba wa Africa 123
  • @
    @jackplatnumz4768منذ 4 سنوات The first one is WAAH.. inapigua sana American bro mondi noma sana 81
  • @
    @alexseya9776منذ 4 سنوات Wasafi hatunaga cha utoto wengine wanafata nyuma diamond platnumz ni moto sana 62
  • @
    @dullytz7755منذ 4 سنوات Middle simba leo nataka like zangu hpa. Cjui npo number ngap 80
  • @
    @fatumamfaumeilawatafulia834منذ 4 سنوات WASAFI 4LFE DIAMOND FUNGAKAZ WEWEEE UTAWAUWA UKOO JAMANIIII 34
  • @
    @dushudofficialnurudin9753منذ 4 سنوات Waah ni ngoma kali sana jamani sema Harmonize hakutakiwa kuzungumza chochote ila mzik wake nd uongee mwishowe amekuwA wamwisho 35
  • @
    @paschalyedward8704منذ 4 سنوات Middle simba wewe nihataliii hongela sana kaka najivunia kuanakijana mtaaramu kama wew tanzania 19
  • @
    @collnecandy3675منذ 4 سنوات Umesema utata kwisha Simba yani mond ndo mufalume waoooo Aise Huyo korosho mwambieni mtoto hamuzai baba Jaman tm mond naombeni like zenu hapa 187
  • @
    @richardking2285منذ 4 سنوات Itakuwa ni diamond platnumz tu mkali wetu 51
  • @
    @saidronya200منذ 4 سنوات Wa kwanza midle simba. Nahitaj like nying. 51
  • @
    @jumasalum7251منذ 4 سنوات Hilo mbn lilikuw linafahamika ata kabla 22
  • @
    @untouchboymsafi1788منذ 4 سنوات Middle simba bna, Acha kumlinganisha diamond platinumz Simba na wtt, Narudia Acha hiyo tabia I love you middle Simba 14
  • @
    @habibasallah8139منذ 4 سنوات Abari ya dunia ni waah makofi ya ende kwa Daimond 19
  • @
    @josephvenus3259منذ 4 سنوات Sitaki tena kuona tunamshindanisha Chibu na watu wa mipasho tena. watazimia mwaka huu. 19
  • @
    @bravo3847منذ 4 سنوات Analysis imeenda shule, nakubali middle simba. 18
  • @
    @zumangomezuma4753منذ 4 سنوات Lion simbaaa Hilo ni BOMU la mwaka limelipua kilamahali 24
  • @
    @bienfaitfahamu492منذ 4 سنوات You don't line bro you are talking through 13
  • @
    @yusufAli-kz2dxمنذ 4 سنوات middle Simba Bana tuletee historia ya koffi olomide 8
  • @
    @williammbewe1675منذ 4 سنوات Waah, ndo wimbo bola, mwaka huu, na mwaka ujao, middle simba juu zaidi 3
  • @
    @barakabaraka9290منذ 4 سنوات Middle nakujua wew ni mwenzetu hahaha wcb for life 7
  • @
    @kamaratsalimsafari8838منذ 4 سنوات Hawezi trend bila kumdiss but yemwenyee ajua kua hamuwezi Simba ilo linafaamika from Mombasa . 4
  • @
    @mussawilly3380منذ 4 سنوات Nakubali sana kaz ako middy simba na kalibu mbeya talh 5 mwez huu 5
  • @
    @ezekieladam7007منذ 4 سنوات WCB4Life nakukubali sana middle simba pamoja sana 1
  • @
    @kinaboykhan3198منذ 4 سنوات It's platnumz namkubali sana jamangu 7
  • @
    @yahyakasunga186منذ 4 سنوات Nakupata vizuli middle simba kutoka buza 4
  • @
    @jerryswax425منذ 4 سنوات Umetishaaaaaa saaana middle Simba, big up to you bro
  • @
    @mrwesyande7163منذ 4 سنوات Waah n ngoma Kali sanaa chibu chibudee ni
  • @
    @nextlevelmusic9276منذ 4 سنوات Diamond platnumz big voice in Tanzania nobody like diamond harmonzie he fake ushamba 66
  • @
    @peterlikecha2954منذ 4 سنوات Asante sana kwa kuwa na uchambuzi sahihi maana harmonize huwa anapagawa na kelele za chura ndani ya maji bila kujua mengine ni ushamba kama nyimbo yake
  • @
    @kambungasalumu4652منذ 4 سنوات Harmonaize ndo mxhamba hajuwi mziki anafoc vitu ambavyo havipo. Amnyoxhee mikono simbaaaaa. 4
  • @
    @musaakamrtomorrow3755منذ 4 سنوات Ya harmonize ni Kali sana afu Zambia ina pendwa sana tena harmonize ni jeshi la mtu umoja wengi wana jiunga unga 1
  • @
    @shabanisanga8614منذ 4 سنوات Midlle ongeza sauti hata na harmonize asikie maana nyimbo ya ushamba yeye ndo mshamba 38
  • @
    @richardjames779منذ 4 سنوات Simbaaa wa tandale atabaki kuwa juuuuuu 1
  • @
    @princejamaalvevotv2525منذ 4 سنوات Number one ijafikisha 4.7m KWA youtube
  • @
    @dieudonnebigirimana8083منذ 4 سنوات Middle simba kiukweli harmoniz huoni hana hakili?anajibabasha rakini sifuri 17
  • @
    @ayubuhenry5426منذ 4 سنوات Nadhani tufike wakat tujue kutoa nyimbo kama mvua co ndo kutoboa, Harmonize angalia usiwe Aslay 18
  • @
    @peterlikecha2954منذ 4 سنوات Soon middle simba apo kwa million subscribers mungu akupe chap