المدة الزمنية 4:10

Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA

بواسطة G Online
1 223 مشاهدة
0
28
تم نشره في 2021/06/01

Chagua marafiki sahihi katika maisha /Kila kijana anatakiwa kusikia hii. Watu ambao unakuwa nao, si marafiki zako.Nataka ujiuliz mwenye hili swali, je wanakupandisha? Au wanakususha? Wanakusaidia kukua? Au la? Unakitu cha pekee ndani yako, naweza kuona lakini nahisi watu unaokuwa nao, wanaagenda zao zingine, na nishakuwa na watu kama hao katika maisha yangu, watu walitaka kuwa karibu na mimi kunitumia na kupata wanachokitaka, na pindi wakipata wanaondoka.Kwahiyo uwezi kumuita kila mtu rafiki. Urafiki unamaanisha UPENDO.Hawa watu hawakupenda, na usitegemee wao kukupenda, hawapo katika kikosi chako, kikosi ni kikundi cha watu ambao unaenda nao vitani unapigana na wewe, mnapigana pamoja. Unaona rafiki wa kweli, si mtu ambaye anafanya matatizo yako kupotea, lakini wao ni marafiki ambao hawatokuacha utakapopitia matatizo See marafiki fake ni kama vimvuli, wapo na wewe kizuri cha maisha, lakini upotea kipindi unapopitia matatizo, changamoto au vikwazo. Kwahiyo nakuambia hivi NI BORA KUTEMBEA PEKEE YAKO USIKU, KULIKO NA KUWA NA MARAFIKI FAKE KWENYE MWANGA. Ni bora adui akuvamie, kuliko rafiki fake kukumbatia. See najua kuna muda is fun kuwa nao, unacheka, mnataniana, lakini hiyo haimaanishi zaidi.Ni rahisi kuwa na marafiki pindi vitu vikiwa poa, lakini vipi kuhusu pindi vitu havikopoa? Kuna siku moja OPRAH alishawahi sema kuwa “KILA MTU ANATAKA KUENDESHA NA WEWE LIMONUES (Hiyo ni aina ya Gari ndefu kama hii), SASA VIPI KAMA HIYO LIMO IKAHARIBIKA NJIANI NA NI BARIDI” Ni nani sasa atakuwa na wewe barabarani? nani atakuwepo kubeba mabagi na wewe? Pindi unapokwenda nyumbani. See sitaki kuhubiri hapa, lakini maisha yako yanategemea mambo miwili 1 Watu unaokuwa nao kila siku 2 Na vitabu unavyosoma Usizuie ukuaji wako kwa kuwa na watu sio sahihi.Nitalisema hili tena WEWE UNAZAWADI NDANI YAKO, UNATAKIWA KUITAFUTA. Muda zaidi unaotumia na hawa watu, ndo muda mchache utakaopata kutafuta zawadi iliyondani yako. Najua unaweza unaweza kusema haijalishi, haijalishi, wala hainiathiri na kwa hilo nataka kukuuliza hili Ni njia ipi rahisi ya kuwa na akili hasi (Negative Mindset)? Ni kuwa na watu au mtu kwenye akili hasi. Ile nguvu au spirit ya watu unaokuwa nao maishani inajalisha sana, kuwa na watu/marafiki ambao wana energy hasi na kupotez muda wako, na kuzuia ukuaji wako maishani. Wanasema watu wanakuja kwenye maisha yako kwa SABABU, KWA MSIMU AU KWA MAISHA YA MILELE. See naamini hawa unaowaita “MARAFIKI” uliokuwa nao, msimu wao umeisha, na ni msimu wako sasa, unaendelea, unapokua na unakuwa exactly vile siku zote ulizotaka kuwa. 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlineposi ... Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- https://www.instagram.com/gonline_pos ... BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 ............................................................................................................................ Pakua Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa https://www.tubebuddy.com/Gonline ... 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx #Chaguamarafikisahihi#Marafiki #ZahirGomelo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3