المدة الزمنية 7:28

Maajabu ya kinyonga | Fahamu utata wa kifo, uzazi wake

بواسطة Daily News Digital
24 701 مشاهدة
0
131
تم نشره في 2020/02/29

#MaajabuYaKinyonga #Makala #Kinyonga @DailyNewsDigital Kinyonga ni jamii ya reptilia anayetajwa kuwa ni miongoni mwa viumbe vilivyo na maajabu mengi endapo utaamua kutenga muda wako na kumfuatilia. Nafahamu mtu akitaja kinyonga, harakahara wazo linakujia na kupata picha ya; mnyama anayetembea kwa madaha kuliko hata bishoo wa mtaani kwenu na kujibadilisha rangi mara kwa mara. Pamoja na hayo, Daily News Digital inaangazia sifa tano za mnyama huyu hivyo baki na mimi, Tagato James Tagato. @DailyNewsDigital

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11