المدة الزمنية 2:29:50

LIVE IBADA YA SABATO | | INUKENI MKAMJENGEE BWANA | | Dkt. Sabato Lushina

بواسطة Mwenge SDA Church
661 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2021/12/04

IBADA KUU || 04,12.2021|| Mwenge SDA Church Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz. Tunapenda kukujulisha kupitia channel hii, kuna vipindi mubashara mbalimbali kila siku jioni kama; Ongeza Ujuzi, Afya ni Mtaji, Kona ya Watoto, Lijue Kanisa na Ibada mbalimbali na maombi. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no:+255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa-Sharon Gesase). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 2501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no:+255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa-Sharon Gesase) ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no:+255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa-Sharon Gesase) Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 2500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no:+255 767 122 508 (Mhazini wa Kanisa-Sharon Gesase) Mungu akubariki.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1