المدة الزمنية 2:1

“WATU WAJE WAONE MRADI, MSIWASIKILIZE WANAOPOTOSHA KUWA UJENZI HAUNA MASLAHI”- MAJALIWA

بواسطة Millard Ayo
93 986 مشاهدة
0
594
تم نشره في 2021/04/10

Waziri mkuu serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo ametembelea ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa mwalimu Nyerere JNHPP na kulizika na kasi ya ujenzi ulipofikia huku akitaka wananchi wanaozunguka maeneo haya wakiwepo madiwani waweze kuketwa kujionea ujenzi huo ili kuachana na maneno ya watu ambao hawapendi maendeleo kwa upotoshaji wa ujenzi huu.. "Kuna wengine wanaweza kuwasikiliza wale wasiopenda maendeleo kwa upotoshaji kwamba ujenzi haundi,ujenzi hauwezikukamilika,ujenzi hauna maslai walete waone serikali imedhamilia kujenga ujenzi na vipi watafaidika, walete wachache wawe mabalozi kwa watanzania wengine"Kassim Majaliwa Waziri Mkuu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 505