Mfanyabiashara wa Mbege, Anitha Mtaro (45) mkazi wa Rau Madukani, Moshi mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu ametoa ushahidi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu.