المدة الزمنية 15:53

USIKUBALI MTU YEYOTE KUKUONDOLEA FURAHA YA MAISHA YAKO

بواسطة Ushuhuda wa Injili
33 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/10/02

Kama kuna kitu shetani anajitahidi kukifanya maishani mwetu basi ni kuhakikisha anatuondolea furaha ya maisha yetu. Siku zote shetani anataka kutusononesha, tujione wenye majuto. Siku zote anataka kuiondoa furaha kwenye ndoa, kwenye familia. Anataka kuondoa furaha yako eneo la kazi n.k. n.k. USIKUBALI. Mungu wa urejesho arejeshe furaha yako ktk jina la Yesu. Kama utakuwa na uhitaji wa maombi ya urejesho kwenye eneo lolote shetani ameharibu furaha yako hebu tuwasiliane kwa namba +255758443873

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0