المدة الزمنية 1:1:31

Siku ya Qiyama Nabii Issa[a.s] atawakataa wale wanaomwita yeye mungu SHEKHE MSELEMU ALLY

بواسطة Madrasatu Alfurqani
56 824 مشاهدة
0
250
تعليقات - 45
  • @
    @yussufpajero39689 months ago Allah akupe kila lenye kheri na wewe pamoja nasi hapa duniani na milele kesho akhera.... 2
  • @
    @mpetaamarijani265610 months ago Nakupenda Kwa ajili ya Allah shekh Mselemu tulimisi masomo Kama haya Mwenyenzi Mungu akuhifadhi 2
  • @
    @mussamirajikilongola6993 years ago Tuna kupenda amir wetu kwa ajili ya Allah 8
  • @
    @ramadhanimakange97663 years ago Yaa Allah Bifadhlika mtoe huyu Ndugu yetu Gerezani 4
  • @
    @user-xz5ym9if3k6 months ago Shamuhun hongera shekhe mselem kwa faida unazo tupapatia 1
  • @
    @shabaniramadhani45913 years ago Somo zito sana. MwenyeziMungu Akutunze na Akufanyie wepesi Shekh. 2
  • @
    @livefans59143 years ago Mashaallah amir wetu Allah akupeni Subra na akujaalie matatzo muliokutana nayo iwe Ndiyo njia ya kuingia Katika pepo tukufu ya Allah Subhanallah Wataala 5
  • @
    @salimbiaisha64663 years ago Mwenyezi Mungu atakusahilishia Sheikh wetu na hiyo mitihani ya Kidunia 1
  • @
    @mohamedpinda15242 years ago Namkumbali sana huyu mwazuoni wa ulamaa 1
  • @
    @hafidhhafidh27363 years ago Mashaallah Allah awape nguvu na kwa kila hatuw mayo pitia 1
  • @
    @abuubakalmtangenange43893 years ago Allah awape subra ipo cku haki itapatikana 1
  • @
    @bifatumunguatulindemsuya18882 years ago Mashaallah sheh wetu mola akulinde naakupe umri mrefu uzidi kutupa elimu nyeye manufaa
  • @
    @mariammohd35153 years ago Subhana Allah hatawaislam waleo hatujui tunaingia kweye shirki bila kujua pia na kuzini na bila kujua ni hatari sana kwa mungu atusehe kwa rehma zake 1
  • @
    @leylasalim93803 years ago Mashallah Allah SW akuongoze zaid ktk njia iliyonyooka pamoja nas
  • @
    @kapondamsita4763 years ago Allah akulinde nashari zabinadamu naakusaidie utoke jela Inshallah 2
  • @
    @hazaaahmadhazaa27703 years ago ALLAH SUBUHANAHU WATAALA ATAFANYA MTATOKA! 2
  • @
    @qurankareem22752 years ago Ametakasika Mwenyezi Mungu Alieumba mbingu 7 bila YA nguzo
  • @
    @ericalexandre21662 years ago Marko -31, Yesu akasema sikiliza Israel Mungu wetu ni mumoja tu na mumuabudu yeye pekeyake na Utampenda mwenzio kama ujipendavyo mwenyewe. Hakuna Amri Nyingine Kubwa kuliko hizo ...
  • @
    @jiongezeemaarifa14963 months ago Msimamiaji wa channel hii nakuomba itunze sana hii channel maana ina elimu kubwa mno ❤ itawafaa wengi watakaokuja baada yetu 1
  • @
    @bobllyhassan78084 years ago Mungu akupe subira sheikh wetu tunakosa darsa mpya mungu akuhifadhi 1
  • @
    @zubeirjuma18564 years ago Tunakupenda kwa ajili ya ALLAH amir wetu dawa zinaendelea 3
  • @
    @khamisvuai69583 years ago Allah akueke sheikh msellem akupe nguvu zaidi na afya ya mwili na akili uzidi kutuita katika uongofu. 1