المدة الزمنية 10:59

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU

بواسطة Global TV Online
212 102 مشاهدة
0
742
تم نشره في 2020/02/06

SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU" MBUNGE wa Rombo, Joseph Selasini, ameitaka serikali kuhakikisha wanapitia upya usajili wa vikundi au wachungaji wanaoendesha makanisa ili kujihakikishia kama kweli wanafanya kazi zao kihalali.. Selasini ametoa hoja hiyo kufuatia matukio mengi ya kushangaza yaliyotokea hivi karibuni yakiwahusisha wachungaji likiwemo tukio la watu 20 waliofariki mkoani Kilimanjaro wakigombea kukanyaga mafuta ya mchungaji Mwamposa.. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 464