المدة الزمنية 13:2

MAUAJI: MREMBO AMUUA MPENZI WAKE Kwa KUMCHOMA MOTO AKIWA NDANI, ALIFUNGA MLANGO KWA NJE

بواسطة Global TV Online
84 139 مشاهدة
0
360
تم نشره في 2021/07/16

MAUAJI: MREMBO AMUUA MPENZI WAKE Kwa KUMCHOMA MOTO AKIWA NDANI, ALIFUNGA MLANGO KWA NJE... BINTI Mmoja jijini Dar es salaam amedaiwa kumuua mpenzi wake kwa kilichodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Mrembo huyo alichoma nyumba aliyokuwa akiishi Marehemu huku marehemu akiwa ndani ya nyumba... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 237
  • @
    @mahamoudduchi3318منذ 3 سنوات Kila nafsi itaonja mauti huu ni unyama usiomithilika. Nnachotaka kusema huu upuudhi wa kulichukua jitu ambalo hulifahamu hlf ety unaishi nae kindoa pika id="hidden2" class="buttons"> pakua mpk kuzaa nae kwanza upanda wa kiimani uislamu na ukristo hkn dini iloruhusu uzinifu na hizi tabia Tz Bara ndo tele haya mambo yakome umempenda bint nenda kwao humtaki achanae ety mpenzi wake dah mthn sana kwa kweli ALLAH akusamehe makosa yako akueke sehemu unayostahili. ....وسعت
  • @
    @reginaluhombo4924منذ 3 سنوات Jamani kila mtu anajua amebeba mawazo gani ndani ya moyo wake kama una uhakika humpendi usiwe na mawasiliano nae tena ona sasa familia imepata pigo zito ambalo halitafutika kamwe katika maisha yao. 7
  • @
    @magrethmbwiga6098منذ 3 سنوات Mungu atuepushe haya majanga ya dunia mungu tupe mwisho mwema.. amen gonga like kama imekugusa hii taarifa 22
  • @
    @zainabzain3434منذ 3 سنوات Pole sana. Wajina wangu Allah akupe subra na akutie nguvu tumuombee Allah ampe kauli thabiti mbele yake
  • @
    @dearotto8402منذ 3 سنوات Uwiiiiiiiiiii binadamu tumekuwa wanyama,, eeeeeeh mwenyezi mungu tupe mwisho mwema 9
  • @
    @abdallahmohamad6991منذ 3 سنوات Daaaaahh poleni sana ndugu wa marehem huko Tanzania. Hakika ni jambo baya Sana Kwa kweli ni unyama wa Hali ya juu huo kutoka Kwa huyo Dada. Hakika Allha atalipa juu ya hlo 15
  • @
    @nelusigwesteven981منذ 3 سنوات Duuuuuuuu polen wafiwa mungu awape nguvu kipind hiki kigumu 1
  • @
    @tuliamakombe1623منذ 3 سنوات Ndio maan mm ctak streets na wanaume ukiona vppita pemben presha staki mungu ampuzishe kwa amani
  • @
    @zou7470منذ 3 سنوات Subhanallah watu tumesha kuwa naroho za kinyama 7
  • @
    @nyogwamihalo472منذ 3 سنوات Pole Sana watuwengine wanalazimisha mapenzi jamani Kama hakupendi usimlazimishe jamani fanya yako Sasa huyu dada alikua amekosa wa kumtongoza jamani mungu amlani
  • @
    @starlonejadamskp8224منذ 3 سنوات Daaah Mwenyezimungu Atupe Mwisho mwema Inshallah 2
  • @
    @heyumi2340منذ 3 سنوات sijawahi sikia mwanamke kumchoma mtu moto hustaili kuwa mama wa family neda jela ukafie huko usirudi ukiwa hai maana kuna watoto wetu wazuri usije kuwapenda tena na kuuwa 15
  • @
    @selemanimasatu2421منذ 3 سنوات Ukisia Unanioa au Hunioi nifanye jambo langu, ndo huku sasa mtu anakulazimisha mahusiano mpaka kifikia hapo, du siku za mwisho hizi. 19
  • @
    @firdausrajabu6822منذ 3 سنوات Duh we dada wew mh ulitoa wap huo uxhujaa 1
  • @
    @halimayusuph4931منذ 3 سنوات ILA Huyu dada alichokifanya niunyama mbaya Sana Huyo dada sijui alipataje ujasili huo daah it's very sad Polen Sana wanafamilia 12
  • @
    @zayanazayana5353منذ 3 سنوات Kung'ang'ania kupendwa km hutakiwi sema na moyo wko uondoke maisha mengne yaendelee 3
  • @
    @hfjfjhfjffj455منذ 3 سنوات Ifike mda tukubali kwamba kuna kupendana na kuna kufarakana pia ukiambiwa hutakiwi kubaliana na hali mbona mm nimeachwa na wala sijaleta tafrani nimejijia id="hidden7" class="buttons"> zangu kufanya kazi za ndani na maisha yanaendelea haya kushamuua mwenzio ila nawe Marsha yako ndio kushayaharibu M Mungu akusimaie inshallah ....وسعت
  • @
    @hawwasandale1935منذ 3 سنوات Mmmh..dunia ina maajabu sanaa kwani kama mtu wamuona hajatulia si uachanenae tuu
  • @
    @khatibuhijja459منذ 3 سنوات Kifo kibaya sana, M Mungu amsameh makosa yake, ila ndoa jamn, kama ukiuliwa uuliwe na mmeo au mkeo kwa M Mungu utakuwa hauna dhima, lkn ukifa kwa mapnz id="hidden8" class="buttons"> yanayohusiana na uzinifu unakuwa mtihani mwengine, M Mungu atujaalie mwisho mwema na awasamehe wote waliotangulia. ....وسعت 2
  • @
    @loner_wolfمنذ 3 سنوات Nafikiri tusihukumiane sana, ILA tukubali kuwa A HALF OF THE STORY THAT HASN'T BEEN TOLD, IT MUST BE TOLD BY NOW. wazazi waambieni watoto wenu ukweli id="hidden9" class="buttons"> TELL THE CHILDREN THE TRUTH.
    mm naamini huyo mwanaume hakuwa anajua ukweli juu ya mapenzi zaidi ya kupanda kitandani na kuitana baby kwa maneno, hakujua kuwa usicheze na nafsi ya mtu, usicheze na maisha ya mtu. Huwez kumdanganya bint wa watu kama mpenzi wako kisha ukamtangaza kwa jamaa zako, kisha kumbe ulikuwa katika kumuharibia tu maisha yake. Usiwashe hisia za mwanamke kwa kumdanganya unampenda wakati hunamaana ya kumpenda kweli.
    ....وسعت
  • @
    @mwanachamawatz9083منذ 3 سنوات Kosa ambalo amefanya jamaa ni kukubali kwenda kwenye hiyo nyumba wakati akijua kabisa amempiga chini huyo dada. Ndio hivyo tena. 5
  • @
    @aminabernad4626منذ 3 سنوات R I p zungu kaka yetu mungu akupunzishe kwa amani
  • @
    @ashaathuman1472منذ 3 سنوات Inauma sana jamani pole kwa familia yake sheria ifate mkondo wake
  • @
    @julianajacksoni4275منذ 3 سنوات Dah jaman.. Binti ana roho ngumu.. Kama mapenzi yameisha achaneni tu.. Yanini kuuana.. Sasa ataishia jela.. 9
  • @
    @halimayusuph4931منذ 3 سنوات Innalillahi wa inna ilayhi raji'un mapenzi ya sikuhizi tuwe makini Kama unaona hauko tayari Bora kutulia kuliko kukurupuka maana sikuhizi Kuna michezo ya kuchezeana kwenye mapenzi 8
  • @
    @violetpaulsen1741منذ 3 سنوات Jmn wanaume wanaumiza lkn siwez kulipa kisasi cha unyama namna hii jmn bora kukubaliana na hal halisi pole familia ila mwanamke mwenzangu dah! 3
  • @
    @vickngowi2779منذ 3 سنوات Mmmh jaman mapenz haya alio yaleta alaaniwe
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079منذ 3 سنوات Hiyo jeneza inavyopelekwa halaka na wahuni duu 1
  • @
    @user-wj2ss1qk8kمنذ 3 سنوات Dahl pole sana family kwa ujumla yan kwa sitairi hiii tumeisha kabisa Allah ampunguzie adhabu ya kabul Rip
  • @
    @mwanahamisseif5506منذ 3 سنوات Daaah jamani kwann lakini roho inaniumaa kma namjua uyo kaka
  • @
    @adammj6258منذ 3 سنوات Wanawake na mapenz ya kulazimisha, km hakutaki si uende!!!?????, visasi vya nini!!? 5
  • @
    @OfficialOchuمنذ 3 سنوات Nina wivu kupindukia lkn adhabu ya Mungu km hiyo siwezi ipata nikamuuwe mwanaume kisa wivu wa mapenzi Allah aninusuru tukichokana basi sio lazima kuishi kwa kufosi 1
  • @
    @mayroseclemence99منذ 3 سنوات Jamani tukiachwa tuachike tukubali matokeo ! Ukiachwa na huyo utapendwa na mwingine 8
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 3 سنوات Huu mwezi umeanza na matukio ya moto karibu kila sehem ni moto tz ndo usiseme tuombe tu rehema kwa kweli corona yenyewe imeshatuchapa vyakutosha 5
  • @
    @ashuraalli1561منذ 3 سنوات Mnh ila huyu dada htr ayo ndo mazara ya kucheza na hisia za mtu wanaume muwe wa kweli ila inauma Sana .
  • @
    @neemapeter1120منذ 3 سنوات Kina Neema nyinyi jamani, mapenzi yasiwaingize hatiani 1
  • @
    @janemuthoni723منذ 3 سنوات Waa huyu mzee anaeleza nn kuhusu mjukuu wake,mamake ndio dadangu,nyanyake kamzaa mama ndio mjomba wangu ndio huyo mjukuu wangu ,sasa hiyo ndio maelezo gani waaa
  • @
    @zaitunishee4431منذ 3 سنوات astaghafirullah astaghafirullah, inallillh wainallillah rajiun mwenye zimungu nizidishie taqwa kwenye ii ardhi yko
  • @
    @tztanzania2262منذ 3 سنوات Tuache uzinifu jamani tuoeni tu gharama wala si nyingi 9
  • @
    @theresiamrema9864منذ 3 سنوات Inasikitisha Sana unyama Kama huu huyu binti hafaii
  • @
    @alfonsimwalongo9164منذ 3 سنوات Me sielew mapenzi ndo yanauma ivi au sijui
  • @
    @hajjiqassim4714منذ 3 سنوات Vijana tuache anasa tunakufa sana ktk maasi 1
  • @
    @jennymsanya7996منذ 3 سنوات Mmh achukilkwe hatua kali si ubinadam kbsaa
  • @
    @uwimanacitegetse9926منذ 3 سنوات Tatizo wanaume wanatowa ahadi alafuwengiwao hawatimize matokeoyao ndohayo punguzeni uwongo 2
  • @
    @ummycheedy2809منذ 3 سنوات Kwa enzi yauhai wao kwan uyo rakiake apoalipo ni maiti 2
  • @
    @salum_scales9217منذ 3 سنوات INNALILLAH WAINNA ILLAIH RAJIUN NDUGU ZANGU TUJITAHID SANA NA TUMUOMBE MUNGU UMAUTI USITUPATE TUKIWA KWENYE MAMBO AMBAYO HAYAMPENDEZI ALLAH 4
  • @
    @kadijahajali3918منذ 3 سنوات Huyo mwanamke mshenzi kuchoma nyumba mototo
  • @
    @meryfrank5272منذ 3 سنوات Pungezeni ahadi za uongo alf mtu kama humpendi usimdanganye, alf tuwe na hofu za mungu jmn sasa mana iyiii dunia sasa itatupeleka jehanamu tukiendekeza ujinga 3
  • @
    @braysongetrude7000منذ 3 سنوات Wachaga tunafeli wapi jamani tulikubaliana mapema kuwa n kutafuta pesa tu vp wivu wa mapenzi
  • @
    @ednajeremiah8671منذ 3 سنوات Wanaume jifunze kusema ukweli unaye mwanamke umezaa naye tena watoto 2 bado unaendelea kumdaganya mwingine jifunzeni jambo hapo
  • @
    @emanuelgaddafi7651منذ 3 سنوات Unakumbuka nini kipindi cha uhaiwenu!!!! Kwako ndugu mtakazaji!!! 1
  • @
    @binthawa2973منذ 3 سنوات wanaume ukiona mtu hauna malengo nae achana nae labda mwenzk kazama kabis wew unatak kumchezea.inauma.tuliza kalio tafuta wa maisha nae acha kuchezea id="hidden14" class="buttons"> mabint wa watu.uyo dada hatujui katongozwa na wangap weny malengo nae labda kawakataaa mwish wa siku unasem humtak ....وسعت 1
  • @
    @aishaibrahim5607منذ 3 سنوات Subuhana allah kamkatisha mwenzie maisha yke akiwa bdo mdgo baada yakuzikwa namwili wako anazikwa mifupa dah mi ndomaana mtu kama simpend bola tuachane tyu 3
  • @
    @afamefunaokeke6966منذ 3 سنوات liwe funzo kwa vijana coz wemekua too much now days huna haja na mtoto wa mtu achana naye kuna dada poa lipa chapa. yebo. wanawake tunaumizwa sana na hawa viumbe wa kiume in the name of love 2
  • @
    @roseafrael75منذ 3 سنوات Ila jamani huyu dada kafanya unyama mnoo haikustahili' na nyie wanaume punguzeni ahadi za uongo kwa mabinti hivi mtu anakuaminisha kabisa kuwa na ww id="hidden17" class="buttons"> na ss wanawake tunavyojua kuwaamini ninyi wanaume alafu mwisho wa siku unagundua kabisa kuwa unadanganywa' kama una hasira za haraka matokeo yake ndo haya unaamua kuua tuu liwalo na liwe ....وسعت
  • @
    @stevenhassan269منذ 3 سنوات Au ndio tuseme huyo dada amelipa kisasi cha jamaa yule aliemchoma mkewe kwa gunia mbili za mkaa wanasemaga eti oooh wanaume ni makatili 1
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 3 سنوات Lazima uwe na mpenzi Kwa vyovyote ,Kwa garama yoyote ,haya SASA hayo ndio matunda yake 6
  • @
    @janethpater1623منذ 3 سنوات unakuja kukatiza ndoto za mwenzako nyuma yake kulikuwa na watu wanamtegemea
  • @
    @teddylameck21منذ 3 سنوات Mapenzi jomon mtu ujazaliwa nae.yanauma ila Neema atakuwa kaingiwa na pepo kiukwel ..Mungu tunusuru vijana 1
  • @
    @maryamtanzania9743العام الماضي Wakati unataka kufanya kitu uangalie mwisho wake yeye kafa lakini wanamaumivu kiasi gani watoto wazazi ndugu
  • @
    @ernestkatyega5781منذ 3 سنوات Wanaume tutafute pesa hawa wadada watatumaliza