المدة الزمنية 15:49

RIPOTI YA KOCHA KUFANYIWA KAZI YANGA/ INA KURASA ZA UBINGWA/ BURUNDI YATAJWA

بواسطة Dar24 Media
9 535 مشاهدة
0
34
تم نشره في 2021/07/18

KAMATI ya Mashindano ya Yanga ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa straika wa Aigle Noir ya nchini Burundi alipotokea kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Saidi Ntibazonkiza ambaye jina lake limefichwa kuhofia kuzidiwa ujanja na wapinzani wao. Hiyo ni katika kuhakikisha wanakiboresha kikosi chao ili kifanye vema msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na michuano ya kimataifa. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #kochanabi #hersisaid #yangasc

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4