المدة الزمنية 4:56

MTUMISHI DAINESS SITTA MAJANI. HAKUNA MTOTO KATIKA ULIMWENGU WA ROHO.

5 074 مشاهدة
0
123
تم نشره في 2020/09/14

Hali ya mtu kuonekana mtoto kimwili, haimaanishi kwamba huyo mtu ni mtoto hadi kwenye ulimwengu wa roho. Ulimwengu wa roho uko tofauti sana na ulimwengu wa mwili.. Watu wote tuna umri sawa katika ulimwengu wa roho isipokuwa tumetofautiana muda wa kuzaliwa duniana!! Ambapo kuna waliotangulia na wapo waliochelewa. Mfano; Bwana Yesu alipokua mtoto baada ya kuzaliwa na bikira Mariamu, haimaanishi kuwa alikua mtoto hadi katika ulimwengu wa roho. Mwilini alikua mtoto lakini rohoni ni Mungu kweli. Endelea

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0