المدة الزمنية 28:51

VOA SWAHILI MATANGAZO YA IDHAA KISWAHILI SAUTI AMERICA TAR.

بواسطة DIRA Tz
440 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/11/05

Katika matangazo yetu leo Tar. 05/10/2020: ✍️Tutaendelea kukupasha yanayojiri katika uchaguzi wa Marekani, bado tu Joe Biden yuko kifua mbele dhidi ya Donald Trump, isipokuwa bado matokeo ya majimbo muhimu hayajatoka ✍️Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atoa tathmini ya janga la corona nchini humo na kutangaza hatua mpya za kupambana na maambukizi ✍️Nchini Uganda, wagombea mbalimbali wa urais wanaendelea kuzindua ilani zao za vyama ✍️Utasikia kuhusu juhudi za kuleta amani Sudan Kusini kupitia mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea.Katika matangazo yetu leo Tar. 05/10/2020: ✍️Tutaendelea kukupasha yanayojiri katika uchaguzi wa Marekani, bado tu Joe Biden yuko kifua mbele dhidi ya Donald Trump, isipokuwa bado matokeo ya majimbo muhimu hayajatoka ✍️Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atoa tathmini ya janga la corona nchini humo na kutangaza hatua mpya za kupambana na maambukizi ✍️Nchini Uganda, wagombea mbalimbali wa urais wanaendelea kuzindua ilani zao za vyama ✍️Utasikia kuhusu juhudi za kuleta amani Sudan Kusini kupitia mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1