المدة الزمنية 13:19

MSANII wa KWANZA wa HARMONIZE Kumsaini KONDE GANG, Asimulia ALIVYOTESEKA Kumtafuta..

بواسطة Global TV Online
186 193 مشاهدة
0
1.5 K
تم نشره في 2020/02/06

MSANII wa KWANZA wa HARMONIZE Kumsaini KONDE GANG, Asimulia ALIVYOTESEKA Kumtafuta.. Anaitwa Harmocent, msanii chipukizi wa Bongo Fleva ambaye pia ni shabiki wa damu wa Mwanamuziki, Harmonize, ambaye ameamua kumuiga msanii huyo kuanzia staili ya mavazi mpaka nywele kichwani.. Global TV imepiga nae stori mara baada ya kutimiza ndoto yake ya kukutana na Harmonize, ambayo alikuwa akiiota siku zote... UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 212