المدة الزمنية 1:52

MwengewaUhuru Arusha RcMongela Aridhishwa na Usimamizi wa Miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru

بواسطة Bazo TV Online
241 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/17

Mkuu wa Mkoa wa Arusha *Mhe John V. Mongela amefurahishwa na namna Halmashauri za wilaya ya *Arumeru* zilivyojipanga katika kutekeleza miradi itakayopitiwa na *Mwenge maalum wa uhuru 2021 Akizungumza mara baada ya kukagua miradi Mbalimbali ya Maendeleo Rc Mongela amesema miradi mingi imesimamiwa na kutekelezwa vizuri kwa *kuzingatia thamani halisi ya fedha* katika miradi hiyo ikiwemo miradi ya ujenzi wa vyumba vipya vitatu vya madarasa katika shule ya sekondari kikwe Halmashauri ya meru wilaya ya Arumeru

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0