المدة الزمنية 10:00

Ugonjwa Unaosababisha Watu Kuanguka Na Kuchapa Usingizi Barabarani.

بواسطة YIB
24 698 مشاهدة
0
1.8 K
تم نشره في 2019/10/23

Yaliomo ndani: Ni jambo zuri sana kujifnza kuhusu mambo yanayotuzunguka, utamu mara nyingi unakuja pale utakapo jifunza kitu ambacho haujawahi kukiona, tuamini sisi tunafahamu ladha yake, ikitokea umepelekwa Victoria falls iliyopo huko zimbabwe na ukashuhudia maajabu ya ulimwengu wetu, hata ukihadithia vip hakuna namna utaweza kulinganisha na vile ulivyoweza kushuhudia kwa macho yako mawili, kwani ukubwa wake hakuna mfano mwingine unaoweza kutumia ili ufananishe na sehemu hiyo, hizi hapa sehemu ambazo haujawai kuzifikilia kwamba zipo, lakini zipo na zinakusubiri wewe uweze kuzifahamu kupitia sisi, YIB, Enjoy.! YIB 2 :/channel/UC5tpm_O5aUJmlntgIChBd6A INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ SUBSCRIBE HAPA: https://bit.ly/2GMBiSB Check out other videos on the Channel: Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/kNo-MbpMI99M- Music: Leaving Home Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Camarah Written by: Dijjah Edited & Produced by: Dsilly #YIB #YourInformationBook

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30
  • @
    @bkatricalstv2752منذ 5 سنوات dah nimefrahi kweli asante sana YIB kwa kutujuza ya ulimwengu 3
  • @
    @am12ghh37منذ 4 سنوات This episode is very good we knew the world
  • @
    @tamaraseff.9707منذ 5 سنوات CHRISTOOOOO.uaguke tu ata kwa shimo ulale.demons 5
  • @
    @angeldikson3270منذ 5 سنوات nipeni like jamani kama zote huwa nafarijika sana nikitzama matukio yakutisha 3
  • @
    @rahmakhassani4148منذ 5 سنوات Nmependa iyo ya MTO kuchemka naenda na sukari na majani najinywea chai 3
  • @
    @saidsoud5967منذ 4 سنوات Kwaiyo ukitaka kuiba unaiba2 mtu akilala unamuibia 3
  • @
    @michaeleustach9352منذ 5 سنوات YIB, DAVISTA MATA, MTIGA ABDALA,ANANIAS EDIGA Hawa ndio mastaa wa YouTube wakiongozwa na YOUTUBE IS BY Tisha xana 3
  • @
    @soldiertz3131منذ 5 سنوات Hatarii ila mnavyoanza maelezo punguzeni mnatuchoxha 5
  • @
    @allykutenga2862منذ 5 سنوات Hiyo ya mji wa2 kucnzia na mji wenye radi hizo ni kiboko. 2
  • @
    @sinatatizonamtuمنذ 5 سنوات Kaka Mbona akauti za YIB unazifungua sana?? 2