Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Amos Makala amewasha taa nyekundu kwa wamiliki wa makanisa ya majumbani ambayo hayajafuata utaratibu wa ujasiri, amesema kwanza amewauma sikio lakini ni vizuri wajirekebishe wenyewe kabla ya serikali kutoa tamko.
Amesema makanisa ambayo hayafuati utaratibu ni kero kubwa kwa jamii
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Nitafuta makanisa Dar: