المدة الزمنية 9:15

Nimeweza Kufuga Kuku wa Kienyeji Kibiashara, Usiache Kujaribu Hawa Kuku ni Biashara

بواسطة Changamkia Fursa
27 074 مشاهدة
0
204
تم نشره في 2021/11/30

Ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara, umegubikwa na maneno mengi sana ya kukatisha tamaa. Maneno kama kuku wa kienyeji wanakua taratibu sana, hawana uzito mkubwa, wanataga mayai machache, gharama za chakula zinaenda juu zaidi. Wapo waliokata tamaa kwa kusikiliza maneno hayo, lakini tupo tulioamua kuziba masikio na kukomaa kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara na inatulipa. Niliamua kufanya utafiti kupitia maneno yanayo sambaa kuhusu ufugaji kuku wa kienyeji na kile nilichokipa nimekielezea kwenye video hii. Tazama mpaka mwisho ujifunze mengi kutoka changamkia fursa. #kukuwakienyejiwanalipa #ufugajiwakukuwakienyejikibiashara #kukuwakienyejinibiashara

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 36
  • @
    @ggmmjasiliamalionline2746منذ 3 سنوات Nasikia watu husema unaweza ukajenga bwawa chini la samaki kisha juu unaweza kuweka banda la kuku wakimaanisha kwamba kinyesi cha kuku ni chakula kwa kambale ikoje hii mkuu 3
  • @
    @user-qg8ic3oc5yقبل 9 أشهر Ukuna changa Moto yeyote kwenye kuku wakienyeji
  • @
    @ggmmjasiliamalionline2746منذ 3 سنوات Yani kila napotafuta elimu nzuri kuhusu ufugaji lazm nikutane na changamkia fursa 2
  • @
    @denissemwenda4037منذ 2 سنوات Naomba kuuliza swali hili, kuna uwezekano wa kuchanganya chanjo za chupa mbili tofauti yaan kama gumboro na new castel na kuwapa kwapamoja au kuna madhara id="hidden2" class="buttons"> gani zikichanganywa.?? Maana tunaona kuna tatu moja sikuhizi sasa nauliza kama havyo inaweze kana ....وسعت 1
  • @
    @princeclever3774منذ 3 سنوات Haujawai kuniacha empty broo thanks. kwa kupitia changamkia fursa nishaanza ufugaji wa kuku 5
  • @
    @VickyMsuya-ho1ifقبل 6 أشهر Tuandikie namba nahitaji vifaranga vya croiler
  • @
    @seifsaidi9911منذ 3 سنوات Shukran sana , Je kuna fursa ya kuwekeza katika hii biashara ya kufuga kuku wa kienyeji. 2
  • @
    @aurelianimtundu852منذ 2 سنوات Tafadhari naomba namba ya cm nahitaj vifaranga
  • @
    @lawrence8597منذ 3 سنوات umesema una kitabu, je,
    kitabu ni silingi ngapi na kinapatikana wapi?
  • @
    @olelilawola8449منذ 3 سنوات safi kwa elimu nzuri na endelevu, tuwekee basi mawasiliano ya wauzaji wa concetrates 1
  • @
    @julianaharrison4356منذ 3 سنوات Nafuga kuku wa kienyeji wanataga mayai 12,15,18, wengine mpaka 20 kuku wa kienyeji watu hawapi chakula ndio maana wanaona hawana faida 7
  • @
    @nancylubango6394منذ 3 سنوات I want to join next classes plz when next?
  • @
    @ramadhanijumalipala6635منذ 3 سنوات Kipimo cha chakula kwa kuku wa kienyeji je ni sawa na kile cha broiler au chotara?
  • @
    @geraldntalondo6110منذ 3 سنوات Nitawapataje sasa hasa Wa mwezi mmoja na ni bei gani kwa kila kifaranga nataka 200.