المدة الزمنية 12:47

DENIS MPAGAZE-WATUMISHI WA MUNGU MJITATHIMINI

بواسطة Uhai Online Tv
127 033 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2019/12/10

WATUMISHI WA MUNGU MJITATHIMINI

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 160
  • @
    @elijahgikuyu9477منذ 5 سنوات Bro you stand for the truth no matter what bigup , am your biggest fun in
  • @
    @frankanthony8591منذ 5 سنوات Ahsant Kaka Kama unamkubali gonga like tusonge mbele 81
  • @
    @luthankings4358منذ 4 سنوات Jamani leo ni sikunjema nadhani yesu ameshakwisha fufuka kama unakubaliana nami usiache ku like 1
  • @
    @seifkhatib4512منذ 5 سنوات Jamani naomba like japo kidogo kama mnamkubal huyu jamaa km nnavo mkubali mm 61
  • @
    @joycemalongo9050منذ 5 سنوات The best presenter in Tanzania and media presenter, Naomba like ya kutosha Jamani. 36
  • @
    @hassanovajunior6972منذ 5 سنوات Daah aisee ubinadamu Kazi Shukran sana Genius Ananias Edgar Denis Mpagaze May God bless you guys 24
  • @
    @benjaminmwiti8113منذ 4 سنوات Mungu na akulinde kaka zababu Mungu anakutumia kuondoa ujinga kwa wanao kusikia 1
  • @
    @damariszuckschwert9489منذ 5 سنوات I salute you for this.,wanawamaliza maskini in the name of Jesus, utafikiri Mungu hulipa ushuru mbinguni au pango la kulala. 7
  • @
    @rehemafungo5042منذ 4 سنوات Sio wote waniitao bwana wataurithi ufalme.thx ananias
  • @
    @luthankings4358منذ 4 سنوات Kaka kama unajiamini we nimwanaume uxiach ku like 1
  • @
    @luthankings4358منذ 4 سنوات Ndugu zang ninaiman ya kuwa mungu upo nasi katika pasaka hii 1
  • @
    @eliphasedward9076منذ 2 سنوات Unajua kunifurahisha Ananias edger pongezi kwako
  • @
    @alexanderbonnysimiyu8635منذ 5 سنوات Si ungwana hata kidogo kutazama na kujifunza Kisha uache ku-like ama kucomment 24
  • @
    @lordreuben5787منذ 5 سنوات Mungu awabariki sana muandaaji na mtangazaji mko vzur mnaitendea haki kipaji ambacho mungu kawapa,na kwa stahili hyo mnatuponya wengi hata bila ya nyie kujua 1
  • @
    @kaundimemussa1187منذ 5 سنوات Naipenda sana sauti yako nasikilizaga story zako mpaka nalala usingizi 4
  • @
    @onesmobruno4636منذ 4 سنوات Yani nashindwa hata kufuatilia ishu ya corona19 muda wote ni huyu jamaa napenda sana stor zake zinafundisha vzr 1
  • @
    @luthankings4358منذ 4 سنوات Maan mvua inanyesha ninaimani ni dalili njema lakini kama na wewe unaamini ni dalili njema uxiache ku like 1
  • @
    @mathiaszakaria7052منذ 5 سنوات Dahhhh Mungu atupiganie huduma za kiroho zimevamiwa na matapeli wanaojiita wachungaji na manabii
  • @
    @sethnsohoye1220منذ 5 سنوات Hongera kufanya kazi nzuri, Mungu aw naww kila wkt juu ya kazi yako hiyo. 9
  • @
    @brayansteven2684منذ 5 سنوات Very nice asante sana brother kwa mafundisho mazur 1
  • @
    @BenMula526منذ 5 سنوات Baba mwisho wa kihama tuta shagaa Mungu atusaidie ubarikiwe brother kaka
  • @
    @mulirohilary209منذ 5 سنوات Kweli Kabisa mpagaze tarsis za dini siku hizi balaa maisha mazuli ni ya waku wadini tuu asante
  • @
    @grayrichard1815منذ 5 سنوات Mi sitaki like zenu kwan n chakula au n malipo ? 3
  • @
    @elibarikielikana1824منذ 5 سنوات Hakika mmmmmh kweli watumishi tuwe macho nimejifunza kitu kikubwa Mnooo ubarikiwe 2
  • @
    @jacksonngusi4122منذ 5 سنوات Ahsante sana kaka ujumbe mzuri mno Ubarikiwe 4
  • @
    @richardswai5206منذ 5 سنوات Ivi unajua annanis edga ungekuwa mchungaji au askofu wengi ungewaumbua xana maana xiku hiz makanixa ndy biaxhara. Kama unaamini ivo gonga like 2
  • @
    @rehemamaduhu5642منذ 5 سنوات Tena hilo la kanisani kama ukiwa na pesa unapokelewa tangu mlangoni na unaoneshwa kiti cha kukaa. Mbele kabisa ila ukiwa kapuku utaachwa utafute kiti kwa akili yako. Ukikosa ukae chini 5
  • @
    @amosmahona433منذ 4 سنوات Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni fanani kiukweli uko viZuri sana katika uwasilishaji wa simulizi yako
  • @
    @onesmobruno4636منذ 4 سنوات Yani naweka kila cku GB3 kwaajili ya huyu jamaa 2
  • @
    @eliankya1991منذ 5 سنوات Message sent Broo thanks for good Message 1
  • @
    @hamzanasry8011منذ 4 سنوات Yani umewachana kweli mwenye maskio ambiwi skia 1
  • @
    @fadhilikazingo1261منذ 5 سنوات Kaka yangu wa kibondo unanifrahisha sana 1
  • @
    @johnny.j.nyondo1074منذ 4 سنوات Safira na anania lakini sio mimi hahahahaha 1
  • @
    @ramaccr7525منذ 5 سنوات akuna mtangazaji kama ww Tanzania nzima 3
  • @
    @suzybae1237منذ 5 سنوات Kwel jmn napenda sana ujumbe wako mzuli 1
  • @
    @thadeymallya2382منذ 5 سنوات Apriciate you much bro.you are unique ever! 1
  • @
    @barakajulius5938منذ 5 سنوات Kaka nawewe unastahili kupewa tuzo ya heshima 5
  • @
    @godfreymagoso5334منذ 5 سنوات Ila waumini tujitafakali tunatumika kweli siku hizi kutokana na stresi zetu ,,, Mungu atunusuru 1
  • @
    @francisjm7416منذ 4 سنوات Napenda sana makara yako hua naelimika sana
  • @
    @davidmpiluka5224منذ 5 سنوات Hapo sawa. Hakuna ubishi hapo. Anayebisha anyooshe mkono wake ili tuone ana akili ya namna gani? 1
  • @
    @lilianakimaro4185منذ 5 سنوات Mwezi wa 12 .20019
    Bad tupo jmn
    5
  • @
    @ramadhankijana9442منذ 5 سنوات Dah
    Kanisa kimbilio la kila mtu.
    Mungu awaona
    4
  • @
    @user-em6bg9ue2dمنذ 5 سنوات Napenda sana habarizako zinamafunzo sana 2
  • @
    @dudleyjulius9187منذ 5 سنوات kaka ananias uko poa na mm pia nmtangazaji nataka kufanya kazi uhai media naomba namba zako tuongee plzzzzzz 7
  • @
    @felixwao7274منذ 4 سنوات Bro fungua kanisa mana dah we nizaidi ya wachungaji
  • @
    @tuntufyekapesa3901منذ 5 سنوات Appreciate you bro..
    Ila ishu ya Alph lukau I wish uifuatilie ile video full Sio clip tu iliyozagaa mitandaon.
    Sabab alivofika tu alisema huyu mtu yuko hai na hakusema amemfufua kabisa..
    2
  • @
    @phedriclhusna3949منذ 5 سنوات Ananasi I wish nkuone yan ur voice so sweat 1
  • @
    @godfreymagoso5334منذ 5 سنوات Sidhani kama watakuelewa zaidi watasema wanapigwa vita,, na shetani anainuka ili kushindana na kalama zao,,, ila wajutafakali japo manyumbu (wagalatia) ni kufuata hata mpagani anaelewa kuliko manyumbu tusiochuja 1
  • @
    @ndihunzefx_tz1174منذ 5 سنوات Kwa mwenye maradhi ya KISUKARI NA PRESHA,nitafute kupitia whatsapp namba 0765871955, kuna uwezekano wa kupona kabisa! Kwa muda wa siku 14 tu! Kwa Uwezo wa M.Mungu,,,wahi sasa nafasi za Ofa ni chache.Ahsante
  • @
    @cghmarcb6563منذ 4 سنوات Kanisa skuizi ndio headquarters ya wahalifu
  • @
    @onesmomasam1367منذ 5 سنوات Iwafikie WA KKKT Niwahuni sanaaaaaaaaaaaaa!
  • @
    @eunicechegeمنذ 4 سنوات Walihamisha mji wa serikali nasikia sasa uko Dodoma. Naweza penda ideological/geo discussion about that. 1
  • @
    @mimiwewe3547منذ 5 سنوات Hahah account yako feki ina followers wengi kuliko yako original 3