المدة الزمنية 14:16

DADA ASIMULIA KWA VILIO MKASA MZIMA WA S2KIZZY KUVAMIWA/MREMBO ALIVYOFANYIWA VITENDO VYA KINYAMA

بواسطة Carrymastory
66 546 مشاهدة
0
568
تم نشره في 2020/10/15
عرض المزيد

تعليقات - 228
  • @
    @robbemanase9051منذ 4 سنوات Hongera sana Carry Mastory , una reporters bora zaidi ya wengine , wame report hili tukio kwa ufasaha zaidi na kueleweka zaidi.
    Baada ya kuwashtaki id="hidden1" class="buttons"> hawa stupid thugs walio ajiriwa na hiyo stupid company kwa kufungua a criminal case , kinachofuata kiwe ni wafungue case ya madai , they need to sue them for millions na kuhakikisha hicho ki kampuni kina filisika na mali zake zinapigwa mnada kulipa fidia kwa hizo sexual and physical assaults walizo pitia panoja na kulipa fidia ya wizi na mali zilizo haribiwa ili iwe fundisho la kuchukua sheria nkononi .
    Huu ni unyanya saji wa hali ya juu hauwezi vumilika , sheria ifuate mkondo , lawyers wajitokeze kutengeneza pesa hapo , pasu kwa pasu , ushahidi wite upo hapo , lazima kampuni iwajibishwe
    ....وسعت 14
  • @
    @BEINGANASTAZIAمنذ 4 سنوات this made me cry, inaumiza sana. I hope Justice will prevail 6
  • @
    @aminamwangile4020منذ 4 سنوات Maelezo ya binti huyu yamenitoa machozi daaah poleni sana 3
  • @
    @Mamatonny2065منذ 4 سنوات Hapo kuna vigogo na watu maarufu wanahusika na unyama huo..
    Chunguzeni mtapata majibu..
    Poleni sana na mkasa huo.
    3
  • @
    @lilianhope2075منذ 4 سنوات Daaah polen saan ndugu zangu maumivu mliyonayo n makubwa saana mungu awape wepesi , 1
  • @
    @ladymuna4945منذ 4 سنوات Naomba ikiwezekana hatua kali ichukuliwe. Kisha na wao wazalilishwe wavuliwe nguo wafanyiwe walivyo fanyia wengine.ili liwe funzo kwa watu wenye tabia id="hidden2" class="buttons"> za kuoza kama zao.hao ni wauaji hao wasiachiwe kabisaa. Inaumiza sana kiukweli poleni sana Mwenyezi Mungu ako pamoja na nyinyi. ....وسعت 2
  • @
    @emmyanold5635منذ 4 سنوات Pole dada Ang utapona tu hzo ni changamoto my dea 2
  • @
    @faridaiddi104منذ 4 سنوات Poleni Sana dah
    Wapenxi muwe kazi mnafunga jpo saa sita ucku
  • @
    @simonmwembe639منذ 3 سنوات Nimelia Kama yamenikuta mm pole Sana wachukuliwe hatua kifungo Cha maisha kabisa wajalana hao
  • @
    @totobad6228منذ 4 سنوات Poleni san kam watuhumiwa wame kaririwa sura bax sheria ita fanya kaz yake 3
  • @
    @magejosia9026منذ 4 سنوات Aiseee hao mbwa wachukuliwe hatua kali sana tanzania yetu ipo huru why wakawapige watu tena ndani ya studio jamani so sad mm imeniuma mnooooo 3
  • @
    @baimarrajahbuayan6237منذ 4 سنوات Daaaa, mitihan kabisa
    Polen Tz hiii kila kukicha mapya yaibuka
    3
  • @
    @agnessmluge5784منذ 4 سنوات Mungu wangu zaidi ya unyama huu,poleni sanaa
  • @
    @renfridaflorence4380منذ 4 سنوات Eee. Mungu Wa Huruma atuhurumue Wanadamu. Poleni sana
  • @
    @niachiemahehee2523منذ 4 سنوات Sheria kifungu namba gapi mpaka. Waweke wanaume wenzie vidole unyanyasaji huo 3
  • @
    @frenkfrancis4151منذ 4 سنوات Uyo mama mwenye kiti akamatwe pumbavu Sana uyo mama mwenye kiti akamatwe pumbavu Sana 1
  • @
    @Alimahrooiمنذ 4 سنوات TZ ni paradise lakini yanaotekea inavunja moyo hata kuja kuona ndugu na rafiki. 5
  • @
    @madpusher2036منذ 3 سنوات Ao makuma wanampiga dada mzuri namna hiyo
  • @
    @thisiszai2045منذ 4 سنوات Mtangazaji unafanya kazi yako uzuri sana na umeonyesha una moyo waku jiweka kwenye nafasi ya wausika kuumizwa. 3
  • @
    @kibongobongo4608منذ 4 سنوات Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu
    Tarehe 28 tuyamalize yote haya
    7
  • @
    @wardeeswai716منذ 4 سنوات Pole sana salma mdogo angu achana na hayo maisha
  • @
    @erickambwilo3034منذ 4 سنوات Wachukuliwe hatua na walipe fidia na garama zote 9
  • @
    @najmasaleh5536منذ 4 سنوات Daa inaumiza sana Allahawalani atawaonesha mbwa hawo. Polen sana husada tuu. Wa chukuliwe hatuwa ya kuzalilisha watu. 1
  • @
    @africanchocolate4216منذ 4 سنوات 1: “ Hiyo kampuni ya ACHER au walinzi shirishi ama sungusungu au vyovyote inavyo itwa kama ni Security Company, Ifungwe na ku futwa mara moja ”
    2: Wakamatwe wote walio husika katika Uvamizi, Uharibifu, Unyang’anyi, Uonevu, Ukatili, Ubakaji, Udhalilishaji, Unyanyasaji, Ujambazi na Wizi”
    3: Walipe gharama za vifaa vyote vya Studio na tena wanunue vyombo vipya vya hiyo Studio pamoja na milango, mageti, madirishana simu zote za Wasanii ikiwemo fedha walizo iba! Walipe gharama za matibabu yote ya hospitali ikiwemo gharama za chakula, vinywaji, dawa na usafiri wa walio onewa pamoja na usafiri wa management ya hao wasanii siku zote kuanzia siku ya tukio mpaka watakapo pona kabisa.
    4: Wawalipe gharama za malipo yaliyo kuwa yame pangwa kulipwa hao Wasanii pamoja na fidia za management ya wasanii akiwemo producer na mshahara wake! Au mishahara yao kama kuna zaidi ya ma-producer (Producers) walio shiriki katika kutimiza production ya Album inayo andaliwa! Gharama za wapiga picha na video ambao wali kuwa wame tayarishwa ku fanikisha project nzima, wakiwemo watu wa Beauty Industry, kama Make Up Artists, Sound Engineers, Waandaaji na kutayarisha majukwaa au Platforms! Pia hao walio umizwa walipwe siku zao zote mpaka watakapo pona, kwa sababu hawato weza ku ingiza ridhiki yoyote baada ya afya zao ku dhaifishwa kutokea siku ya tukio hili la kikatili !
    5: Hao wahalifu wavuliwe nguo, kisha wachapwe na kupigwa kwa marangu, vibao na ngumi kisha watupwe jela ⛓ kwa muda mrefu sana ili iwe fundisho kwa wengine! Haki ⚖️✌
    .
    ...وسعت
    8
  • @
    @zaituniluhwano2453منذ 4 سنوات Tanzanianm nchi ya amni lkn vitendo vinavyofanyika so sad 2
  • @
    @barakamshiu7146منذ 4 سنوات Even if the studio had weed, the company was wrong on their means of attacking the studio. 6
  • @
    @safinachitanda1517منذ 4 سنوات Aise inaumiza sana udhalilishaji mkubwa sana jamani tuwe nautu sisi sote ni wa moja kwann tunatendeana unyama huu inackitisha 1
  • @
    @lussevv1716منذ 4 سنوات Daaa ebwana azizi cassim school mate wangu duu pole sana niga duuu kumbe upo mzee aisee hao ni watu gani wasio mjua s2kiss kiasi hichoooooo aisee
  • @
    @ilynpayne7491منذ 4 سنوات hii nchi kumbe mtu anaweza vamiwa na kupigwa bila sababu yoyote ndomana hatuna imani naserikali 1
  • @
    @pascallyimo5106منذ 4 سنوات Mimi ningekua na mamlaka,nafkiri ningekua katili zaidi duniani,Hawa mbwa wangeipata fresh
  • @
    @clintonnasib7079منذ 4 سنوات Am sorry For What has just happened My dear brothers and sisters sorry s2kizzy 1
  • @
    @flevouronlinetv133منذ 4 سنوات Hik nikitendo cha uzalilishaj ila polen san sheria itafuta mkondo wake usijal dada ang na wala usilie san 4
  • @
    @aminatanzanya7475منذ 4 سنوات Hivi hiyo studio ipo sehem Gan nasungusung kazi yake kulinda watu au kupiga watu aisee huyo Dada kaniliza polen sana 1
  • @
    @thomastemu9938منذ 4 سنوات Away mgambo sijui walinzi wamejichanganya Tena kipindi hiki Cha uchaguzi anko magu anawaangalia wasanii,, mjumbe umeisha 2
  • @
    @paskalmsavange2121منذ 4 سنوات Na huyo mjumbe alipe vifaa vyetu vya mziki 2
  • @
    @furaharobert6047منذ 4 سنوات Roho mbaya tu watafutwe wote na huyo mjumbe ngese saana mxiuuu 4
  • @
    @mboytz12منذ 3 سنوات jeshi la police litafanya kaz yake na wakamatwe walifu 1
  • @
    @agnesgervas8070منذ 4 سنوات Daaaah polen unashindwa hat u comment nn yan mpaka machoz yamntoka duuuh walimwngu jmn wngn hatuna huruma yan kupgwa bad navitu vyao mnabba nakuharbu vitu id="hidden4" class="buttons"> yva ndan ya studio ya mtu anapojipatia rizik jamn mbona mmfany hvyo jmn au watu mnatak waib iw Tanzania ya wez na cyo ya viwan da pole kaka ang mungu atakufanyia weps isha Allah ....وسعت 3
  • @
    @rozzymosses2601منذ 4 سنوات Daah hapo kuna maswala ya wivu tu Poleni San
  • @
    @angelbwija9547منذ 4 سنوات Duu pole sana jamani ni huruma sana kabisa
  • @
    @savavibesمنذ 4 سنوات Huyu dada alivyo mzuri yan anatakiwa ashukuru sana MUNGU maana amesalimika sana tena mnnnoooo 13
  • @
    @RoseRose-qj5pwمنذ 4 سنوات Ameniskitisha huyu dada sheria ifatilie na washtakiwe
  • @
    @lovenesshenry2671منذ 4 سنوات So sad inaumiza sana kiukwel bt Sheria itafata mkondo
  • @
    @juliasmihwela1326منذ 4 سنوات Tatizo Hua hamtujuzi mwisho watukio kwamba hao waliofanya huo unyama wamechukuliwa hatua za shelia?
  • @
    @zahrarashid6086منذ 4 سنوات Polen hao watapatikan tu tena watazibiw vikali
  • @
    @mapenzi_tz1511منذ 4 سنوات Sungu Sungu, hao wanatafuta visababu vya kuiba wakijifanya wanalinda, mm nilishawai wachenjia wamenikuta Hom wananiuliza naishi wapi, kifupi Sungu wasikuizi miyeyusho wengi wanashirikiana na wezi
  • @
    @allymkangara5695منذ 4 سنوات Hawo walinzi kwanza sheria hawajui wakamatwe haraka
  • @
    @pioustrevol3468منذ 4 سنوات This is not fair, is Humiliation uwez ingia Kwa office ya mtu ukajudge km ivo ile n studio ya Sanaa all people there are artists xx uyo mjumbe altaka wawe wanavaa nn mabazee au vitenge 2