المدة الزمنية 25:31

BREAKING: MAGUFULI 'AMTUMBUA' BALOZI ETHIOPIA, AMPANDISHA CHEO JENERALI MBUNG'O..

بواسطة Global TV Online
34 210 مشاهدة
0
131
تم نشره في 2020/03/26

BREAKING: MAGUFULI 'AMTUMBUA' BALOZI ETHIOPIA, AMPANDISHA CHEO JENERALI MBUNG'O.. RAIS John Magufuli amemvua ubalozi na kumrejesha nyumbani aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Emilia Mkusa, kutokana na ripoti Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka 2018/19 iliyoeleza upotevu na matumizi mabaya ya mabilioni ya fedha katika ubalozi huo. Magufuli amesema hayo leo Alhamisi, Machi 26, 2020 baada ya kupokea ripoti ya CAG, Charles Kichere, na Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU). “Mmebaini wizi katika ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia na yule balozi nimeshamrudisha, siyo balozi tena kule. Itakuwa ni fundisho kwetu sisi kwamba ukiharibu mahali fulani ujiandae kubeba msalaba. “Kwa mashirika kumi tu ya umma nkupongeza CAG umeokoa Shilingi bilioni 1.2; nakupongeza sana haiwezekani kazi yetu wenyewe tukaguliwe na watu wengine,” amesema Magufuli. Awali akiwasilia ripoti hiyo Kichere amesema katika ukaguzi wake unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm/Sweden zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi, kiasi hicho cha fedha kingeweza kuepukika kama balozi hizo zingekarabati nyumba zao za makazi. Pia amesema katika ukaguzi wake amebaini kwamba balozi 14 za Tanzania zina majengo ambayo yametelekezwa, hivyo ameshauri majengo hayo kukarabatiwa ili kuokoa fedha ambazo zinatumika kukodi nyumba. Amezitaja baadhi ya balozi hizo kuwa ni pamoja na Canada, Burundi, Kenya, Sweden na Algeria UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 49
  • @
    @hassannyalile22564 years ago Hakika utakumbukwa sana Mhe-Rais, wananchi tunakuomba utuongoze miaka 30. 3
  • @
    @leonardwasafinomaaapeter11014 years ago Mm wa kwanza ku coment leo nipeni Like zenu basi 20
  • @
    @erastonamwewe15844 years ago Mungu aendelee kukulinda na kukuongoza. Amina. 4
  • @
    @mbarikiwambarikiwa39884 years ago Naona bado hawataki kukuelewa wasaidizi wako Pre Magufuri. 4
  • @
    @BiornProductions4 years ago Chuma hiko 👏👏👏🇹🇿 Mungu ibariki Tanzania 3
  • @
    @amrimalumbo17124 years ago Chuma hicho TZ imebata Rais Mungu mbarik Rais wety 1
  • @
    @ayubuwilliam1304 years ago Safi sana mweshimiwa Magufuli umekuwa mwalimu wa Tanzania kuhusu kufanya kazi na umekuwa mzazi wa Tanzania Mungu akubalike afya na uzima tuna muomba Mungu atupe Rais wa mbele wote wawe kama wewe ili mbegu yako usipotee milele ...
  • @
    @malugukushaha67644 years ago Rais wetu JPM, hakika wewe ni mzalendo wa kweli, sisi watanzania hatuna cha kukulipa kwa uzalendo wako bali mwenyezi mungu ndiye atakayekulipa. 1
  • @
    @valeryluoga59484 years ago We need this kind of leaders to move forward 1
  • @
    @martinmayyo76014 years ago Safi jiwe kuu la pembeni,jiwe walilolikataa waashi 3
  • @
    @salumkanju17324 years ago Huyo General hakupandishwa cheo bali ameongezewa madaraka kutoka kaimu hadi kuwa mkuu wa sehem aliopo....
  • @
    @kimbulumathayo24124 years ago Hamjui maana ya jiwe kuu la pembeni iweni na Akili kama hamjui tuwafundishe 1
  • @
    @josephmlela97574 years ago busara za kiroho wa Mungu zidumu kutembea ndani ya nafs yako my President
  • @
    @wangwemseti75924 years ago Kwanini wana nchi wa kata mbili kata ya matongo na kata ya kemambo ambao inaeleweka wazi shughuli zao zinategemea uchimbaji wa madini ya dhahabu mmeshindwa kuwa tengea eneo lao rasmi kwa ajili ya kutafuta mkate wa kila siku? viongozi kuanzia ngazi ya chini hadi wa ngazi za juu wapo lini mtayaondoa haya majanga mlio tuwekea ninyi wenyewe? ... 1
  • @
    @mathewjoseph32994 years ago Saf sana mkuu haiwezekan pesa zote kama hizo ziibiwe na viongozi wakuu wapo wote ni mambo ya hovyo!!!
  • @
    @relaxationalmoments70294 years ago Huyu CAG aliyeokoa zaidi ya Tsh. Bilioni 1.4 ndio wengine wamekwenda mahakamani kupinga uteuzi wake!
  • @
    @ashritaabdallah64744 years ago Mhe pia uwe mkali sana kusimamia corna isitudhuru
  • @
    @lameckjohn17174 years ago Nimeelemewa na furaha namna ambavyo taasisi za umma zinafanya kazi,
  • @
    @amrimalumbo17124 years ago Mtazamo wang kwanin usiww Rais wa kudumu 1
  • @
    @sponsor78824 years ago BAADA YA KUONGELEA CORONA...MUNAPANDISHA VYEO 2
  • @
    @donlee25534 years ago Wabongo Tuliopo Ethiopia Tufahamiane hapa 0935523659
  • @
    @teddykanondo57534 years ago Hakuna mtu anaweza kumuelewa mvuta bangi kama huyu. Kiongozi anaua walipa kodi wake.