المدة الزمنية 4:58

Waziri Bashungwa Ahitimisha Ligi ya Mtaturu Jimbo Cup Singida Mashariki: mtaturu wizarayamichezo

بواسطة Bazo TV Online
158 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/12/27

#bazotvonline Burudani zikatapakaa Katika Viwanja vya Sekondari ya Ikungi, Sikuingineko Bali, Ni Katika Jimbo la Singida Mashariki. hayo yamejiri baada ya Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mhe Innocent Bashungwa kutua Katika Viwanja hivyo kwaajili ya kuhitimisha Rasmi Mashindano ya Mpira wa Miguu yaliyojulikana Kama Mtaturu Jimbo Cup Katika Uwanja huo Ambapo Katika Kuhitkmisha ligi hiyo kulikua na Mechi ya Fainali iliyohusisha timu ya Mampando Fc na Matongo Fc ambambo mechi iliisha kwa Dakika 90 kwa Timu ya Matongo Fc kuibuka dhidi ya Mampando Fc. Aidha, Mhe. Bashungwa Amesema anamshukuru Mbunge huyo kwa niaba ya wizara kwa kuunga mkono shughuli za michezo ikiwemo kugawa jezi na vifaa vingine ili kuinua michezo kwa vijana, #Ikungi #singidamashariki #michezo #innocentbashungwa #mtaturu #mraturujimbocup

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0