المدة الزمنية 35:50

MPAKA HOME: Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba

بواسطة Global TV Online
681 564 مشاهدة
0
3.7 K
تم نشره في 2017/12/19

Subscribe /c/uwazi1 STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman Yusuf ‘Patrick wa Kanumba’ amefunguka juu ya uvumi unaoenea ukidai yuko kwenye penzi zito na muigizaji mwenzake, Hannifa Daud ‘Jennifer wa Kanumba’ ambapo amekanusha vikali madai hayo. Katika mazungumzo maalum na kipindi kinachojipatia umaarufu na kuvuna mashabiki kila kukicha cha Mpaka Home baada ya kuibukiwa nyumbani kwao usiku mnene, Patrick alikiri kusikia uvumi huo kupitia watu mbalimbali ambapo alisema yeye na Jennifer ni kama ndugu kwani hata familia zao zina uhusiano mzuri hivyo hawezi kufanya kitu cha ‘kijinga’ namna hiyo. Twende pamoja umsikie Patrick alivyofunguka. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 536
  • @
    @rahmahussein8139منذ 7 سنوات May Allah continue to bless him and his family .Ameen 7
  • @
    @swaumukassimu6474منذ 4 سنوات Jamani we kaka Othman unajiheshim sana love it 1
  • @
    @aldanaudana2633منذ 6 سنوات Watanzania wabara mna umoja tunawapendeni mnavopendana na kwa umoja wa kikiristo na waisilamu yaani kanumba kawachukua hawa waisilamu nae akiwa kiristiani namazikoni mnashirikiana mashallah
  • @
    @saidsaid9463منذ 7 سنوات Mbona mtangazaji yuko vizuri2 Ila anakigugumizi ndio kazi hakuna mkamilifu 52
  • @
    @babycandy1153منذ 7 سنوات Mashaa Allah mama Patrick Allah awawezeshe.InshaaAllah good advice I like it. 3
  • @
    @loicechemutai9228منذ 7 سنوات Hongera xana Patrick kwa kazi nzuri kila la heri.. 6
  • @
    @sheymahabdulwahidkhalid6355منذ 7 سنوات mashallah Hongera sana Patrick umekuwa baba la Baba
    nimependa maongezi yako umeongea vizuli sana upo sahihi kabisa
    mie nakuombea kheri id="hidden2" class="buttons"> mwenyezi mungu Akuongoze kwa kila Atua
    nikijana mmoja msikivu miii nimekupendaa bure mungu Akulinde
    ....وسعت
  • @
    @anneemmanuel7363منذ 6 سنوات Woow paty c unajua kujieleza jamani hongera
  • @
    @chrstnmuthoki697منذ 6 سنوات Patrick hongera sana . even ua response express es ua personality.
  • @
    @hellenjohn4472منذ 5 سنوات Jamani huyu mtangazaji sijawah choka kusikiliza kipindi 3
  • @
    @clariritha5898منذ 7 سنوات Jamani kweli sikukuwa nafahamu kuwa njo mama yake nakina !!!! Napenda sana 8
  • @
    @naimarama5741منذ 7 سنوات Patrick nakupendajee jmn umekuwaaaaah mashaallah 1
  • @
    @tinyaanosiatha1118منذ 6 سنوات Safi sana patrick unakula kujieza good job
  • @
    @gloryherrymbwilo5429منذ 6 سنوات Ndugu mtangazaji nimekupenda bure.Patrick pia unajieleza vizuri sanaa
  • @
    @shubaibe5802منذ 7 سنوات maashaallah Patrick mungu akuongoze inshallah
  • @
    @jiongezemanyama840منذ 7 سنوات hongera mama Patrick umekuza.mungu amubariki
  • @
    @georgekitaponda336منذ 6 سنوات uko vizuri mtangazaji achan n matusi yao
  • @
    @deboramark1800منذ 6 سنوات congrats Othman UE knw how to explain ur self big up 4
  • @
    @mdzainb3722منذ 4 سنوات Heeee,,,,,kumbe ndo mama yake ndo najua leo mweee honfera sana mama kwa kukuza
  • @
    @dorahdeus6757منذ 6 سنوات jamn we mama mdhuri kumbe ndo mama p jmn nakupenda wew na mwanao mwaaaamwaaamwaaaaaaa
  • @
    @amanside3691منذ 5 سنوات Patrick umekua jamani allah akukuze ktk malez bora inshaallah 1
  • @
    @gilbertmwasenga2109منذ 6 سنوات Jamani mpunguze ukali wa vichwa vya habari mmesema aweka wazi penzi lake 2
  • @
    @nabintukadende2388منذ 7 سنوات bravo Patrick. uyu mtungazaji ana kazania sana nini.. 2
  • @
    @mwanaidimwabitibongo8724منذ 7 سنوات hongera kk,yani cjui mkoje nyinyi yani mnataka muwaingize kwa hayo magege yenu komeni mmezidi
  • @
    @kibongobongo4608منذ 6 سنوات Watangazaji sometimes muwe na heshima kwasababu huyu unamuuliza masuala ya mapenzi bila kuwa na hisia ya wazazi wao sio vizuri kwakweli. Nauhakika wazazi hawajapenda.
  • @
    @salmamassoud9863منذ 6 سنوات wallah me nilikua cjui km mwanae honger mama
  • @
    @barakaisaya3109منذ 6 سنوات Umefanana na ndemla dogo nakupenda sana
  • @
    @rachelmaneno9785منذ 6 سنوات duuh Patrick umekuaaa! nimekupenda bureee
  • @
    @alineshabani158منذ 7 سنوات i like your answers Patrick you are smart 1
  • @
    @mbogabahati8599منذ 7 سنوات Kumbe huyu mama anakuaga mamaake na Patrick nawapendaga sana Mungu awalinde 2
  • @
    @nyambinyambi4781منذ 5 سنوات Safi sana mtangazaji napendaga sana kufatiliaga izi story zenu na nacheka sana nimependa sana na nimecheka sanasafi mtangazaji uko vizur kugugumi id="hidden4" class="buttons">zi ni mipango ya Mungu ila watu wanajiona kama wameumbika vile,lkni safar bado Nacheka jibu la Patrick eti Mama yake na Mama yangu wanaundugu wa kichini chini ....وسعت
  • @
    @MdArif-or9umمنذ 6 سنوات Nashangaa mnamponda kosa gani alofanya.huyu mtangazaji..binaadam bwana 7
  • @
    @solomonfaithbless5940منذ 7 سنوات This teen is just responding positively, I think is the great too
  • @
    @chwabizobk8160منذ 5 سنوات Msome mje mplay part ktk kuchange bongo movie.. 2
  • @
    @davidphares5316منذ 7 سنوات huyu kaka mtangazaji mnamuonea sana kumtukana kwa nn mna kauli chafu hivyo mbona anatangaza vizuri na anauliza maswali ya kawaida tu mi nampenda sana huyu id="hidden5" class="buttons"> kaka kama mtu unamchukia chamba moto uungue mavuzi ndio tujue kama unamchukia ....وسعت 67
  • @
    @AhmadAhmad-wl7zvمنذ 5 سنوات wa tz punguzeni kufatilia mambo ya mtu plzzz
  • @
    @user-ed1lo4mu2cمنذ 7 سنوات Mashaallah jaman kumbe muislam hongera kijana 26
  • @
    @josemagangaduhkamasaidndem8639منذ 6 سنوات Duh Patrick anafanana na said ndemla wa simba 1
  • @
    @tinyaanosiatha1118منذ 6 سنوات sana patrick unajua kujieleza good job
  • @
    @ostazclassic3370منذ 7 سنوات Hahahahaha nampenda sana huyu mtangazaji anauliza vizuri sana mpaka ndani 19
  • @
    @fatumavip2688منذ 6 سنوات David phares
    acha kunichekesha uwiiiiiiii we noma tena hilo neno
    1
  • @
    @ummybaby1174منذ 7 سنوات kayamba vitalis ndy hivyo mie nawashangaa kumkosoa m2 Kama vile hawajui hiyo hali m2 yeyote anaweza zaliwa nayo au kukipta hata kwa maradh m2 akiugua sn id="hidden6" class="buttons"> tena mie naona bora hata huyo anaafadhal sn wapo wengne ni too much nakuhusu kuhoj cjaona cha ajabu yupo sahihi 2 coz hivyo v2 vinasemekana nihivyo. ....وسعت 4
  • @
    @jennyabdalla3204منذ 6 سنوات dah! Jmn kaongea kwa huzun ila uko vzur
  • @
    @amourdelicieuse2961منذ 4 سنوات We mutangazaji wa global Tv kwanini kufika usiku sana
  • @
    @rosemarybenjamin5866منذ 7 سنوات Maybe mbk leo hiii the Great Kanumba angekuwepo mbk leo hii ungekuwa mbali saan Patrick ❤ 5