المدة الزمنية 6:31

Binladen, Producer wa Muziki wa Bongo Flava, Alonga na Swahilivilla Online TV kutoka Washington DC

242 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2020/08/10

Swahili Villa Online TV, wamefanya Mazungumzo na mmoja ya “Producer” wa muziki wa Bongo Flava mashuhuri sana katika Jiji la Dar-es-Salaam, Mtaa wa Lincoln, Masaki, Jiji la Dar-es-Salaam, Tanzania, maarufu kwa Jina lake “Binladen” katika Recording Studio za “Tongwe Record”. “Binladen” ametengeneza nyimbo za Wasanii wenye majina makubwa na maarufu sana kama Joseph Haule aka “Professor J”, Roma Mkatoliki, Lady J , na Stamina ni hatari sana. Shukurani zetu kwa mshika Kamera “Coach Carter”, na Deputy aliyeweza kufanyikisha mazungumzo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0