المدة الزمنية 1:25

MBUNGE FESTO SANGA AKIFUNDISHA DARASANI SHULE YA MSINGI IHELA WILAYANI MAKETE.

80 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/07/20

MBUNGE WA MAKETE AIBUKIA DARASANI, SHULE YA MSINGI IHELA Akiwa katika ziara zake za kuzungukia shughuli mbalimbali za Maendeleo, Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga amefika shule ya msingi Ihela iliyopo Kijiji cha Ihela Kata ya Tandala Wilayani Makete na kuzama darasani kubrash watoto wa Darasa la nne na la saba.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0