المدة الزمنية 12:35

MALCOLM X: Mwanaharakati ALIYEUAWA Kwa RISASI 15..

بواسطة Global TV Online
170 014 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2019/07/26

MALCOLM X: Mwanaharakati ALIYEUAWA Kwa RISASI 15.. Malcolm X baada ya kuzaliwa wazazi wake walimpa jina la Malcolm Little, yeye akajiita Malcolm X, na baadaye alipobadili dini na kushiriki hija huko Makka Saudia alibatizwa jina la ALHAJI al-Malik Shabbaazz. Malcolm X alikuwa mtu mwenye ushawishi, aliyepanda hewani urefu wa kimo cha futi sita pointi tatu sawa na mita moja pointi tisa moja. Alizaliwa May 19,1925 huko OMAHA, NEBRASKA nchini Marekani, akiwa mtoto wa nne kati ya watoto nane ya mzee EARL LITTLE. #malcolmX /playlist?list ... /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 215