المدة الزمنية 6:30

Jinsi ya kupika vileja/Cookies bila kifaa maalumu na kwa njia rahisi

بواسطة Sade dimples
5 870 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2022/05/12

VILEJA/COOKIES MAHITAJI Unga ngano 250 gms(robo kilo) Sukari 180 gms mafuta 160 mls mayai 2 viini vya mayai viwili(2) baking powder 2tsp maji ya ndimu 2 tsp vanilla/fleva 2 tsp chumvi robo vijiko viwili vya chai

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 8