المدة الزمنية 3:8

MSTAAFU KIKWETE alipowasili kuaga Mwili wa MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

بواسطة Alama Online TV
3 953 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2021/02/18

#RIPMaalimSeif Rais Mstaafu Kikwete amewasili kwenye Msikiti wa Maamur Dar es salaam kushiriki Ibada ya kuuswalia mwili wa Maalim Seif Sharif Hamad , baada ya Ibada mwili utapelekwa Airport kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Zanzibar. #MillardAyoUPDATES

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2