المدة الزمنية 10:1

DUNIA IMEKWISHA Wachungaji Watapeliana Nyumba, Makonda Aingilia Kati

بواسطة Global TV Online
17 767 مشاهدة
0
47
تم نشره في 2018/01/22

DUNIA IMEKWISHA! Wachungaji Watapeliana Nyumba, Makonda Aingilia Kati Mchungaji wa kanisa la Efatha, Jacob Yolam Swila, anadai kutapeliwa nyumba na Mchungaji mwenziye ambaye ni mwanafunzi wake aliyekuwa masomoni na baada ya kuhitimu ndipo akapangiwa kazi katika kanisa lililopo Kilombero mkoani Morogoro ndipo alipoamua kumpatia na nyumba yake kama sehemu ya makazi yake kwa muda mpaka atakapopata makazi rasmi. Mchungaji huyo baada ya kuwasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alishangaa kukutana na Mama Zainab Kusakwa, ambaye baada ya kuzungumza naye akagundua ndiye mteja aliyeuziwa nyumba yake na mwanafunzi wake kwa kutumia haki feki. Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 18