المدة الزمنية 17:19

INAUMIZA Baada ya kukatwa Ulimi, Saratani yatoboa Shingo | Chakula kinatoka | Mkewe aomba msaada

بواسطة Dar24 Media
8 651 مشاهدة
0
39
تم نشره في 2019/10/23

Mgonjwa wa saratani kwa miaka sita, amekatwa ulimi, sasa imesambaa na kumtoboa shingo, anakula kwa mateso, haijui kesho yake, Mkewe aomba msaada wa kupata mtaji wa kufanya biashara ili kujikimu na kumsaidia mgonjwa.Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Dar24Mkasa #Saratani

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25
  • @
    @macleanmwaijonga7137منذ 5 سنوات Ama kweli haya maisha huwezi jua kesho yako. Mama kwakweli umejitahidi sana kumtuza mzee - Mungu atakupa thawabu kwakweli una moyo wa kipekee. 6
  • @
    @daifaibrahim1975منذ 4 سنوات mungu akuzidishie subra dada ,mung atakulipa ujira wako
  • @
    @mozasaid3869منذ 5 سنوات Pole sana dada Mwenyezi mungu azidi kukupa imani na subra katka mtihani ulionao, 1
  • @
    @saidmakumlo8930منذ 5 سنوات Pole sana Dada angu ALLAH atawafanyia wepesi maradhi ni ibaada 3
  • @
    @shanimbaruku2071منذ 5 سنوات Pole mpenzi Mungu azidi kukupa subra umlee mume wako ln Shaa Allah atapona 2
  • @
    @nadiyakisho2178منذ 5 سنوات daaah jaman mateso unayo pitia kk namin Allah atakupatia faraj innshallah utapon hongera mama kwa ujasir na huruma kwan niwachache sn wenye moyo km wk mungu wafanyie wepes 1
  • @
    @promisesebirayi9565منذ 4 سنوات pole sana mungu atakusaidia don't give up just trust God
  • @
    @Emedroadtocanadaمنذ 5 سنوات mwenye afya njema mshkur sana allah kwa vitendo vyema 2
  • @
    @josephenmtau6723منذ 5 سنوات Pole sana katika jina la yesu mwenyezi mungu akufanyie wepesi.
  • @
    @sadiaabed6687منذ 5 سنوات Pole dada mungu akujaalie mlinde mumeo inshaallah allah atakulipa nikawaida kampuni haikujui kukitokewa na matatizo kama hao wanakujuwa ukiwa mzima
  • @
    @nadiyakisho2178منذ 5 سنوات hayo ndo mapenzi ya dhat ww ni mfano wakuigwa jaman hongera ten mama 3
  • @
    @khatibabdallah6185منذ 5 سنوات Pole sana sheikh, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upone
  • @
    @halemakoke727منذ 5 سنوات Inshaaa Allah mama kwa kutupa nguvu ss wanawk wenzio Allah azidi kukup moyo huo ya rabbi mponye baba huyu
  • @
    @chaumaraali8201منذ 5 سنوات pole Sana ndo mitihani endelea kuvut subra
  • @
    @ringoaskali7625منذ 5 سنوات Pole sana unle utapona lakini kwanini serikali hamsaidii vipi wabunge wakuu wa mikoa mko wapi jamani msaidieni jamani 1