المدة الزمنية 43:57

NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

14 459 مشاهدة
0
169
تم نشره في 2021/05/13

Nguvu za giza zikiwa ndani ya mtu sio kwa sababu huyo mtu ni mdhambi sana,bali kuna sababu mbili zinazopelekea mtu huyo kuwa na nguvu za giza ndani yake. Sababu ya kwanza ni familia au ukoo aliotokea.Koo nyingi za Kiafrika zinajihusisha sana na masuala ya upande wa giza,iwe ni kwa kufanya matambiko,uchawi,ushirikina na kadhalika.Vitendo hivyo huzipa uhalali nguvu za giza kufuatilia watu wa familia au ukoo huo.Na watu wa aina hii huwa hata wakijitahidi vipi ili wafanikiwe kwenye eneo fulani la maisha huwa hawafanikiwi,na hii huwaumiza sana maana huwa hawajui sababu ni ipi.Maana mara nyingi vitendo vya giza vilivyofanywa kwenye koo walizotoka huwa hawavijui. Lakini sababu ya pili ni kutoishi maisha ya utakatifu.Watu wa aina hii wakiwa na nguvu za giza ndani yao mara nyingi hujua chanzo cha hizo nguvu za giza kukaa ndani yao ni kipi. Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakupa majibu ya maswali mengi uliyokuwa unajiuliza. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ...

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 26
  • @
    @childrengospelmissiontanza1474منذ 3 سنوات Yananihusu mimi kabisa hayo,nimesaidia sana ndugu na hapa nilipo mguu unanisumbua 1
  • @
    @nikolaussaimon8897منذ 3 سنوات ROHO MTAKATIFU.AZIDI KUKUPA,MAARIFA.ZAIDI KWA AJILI YA WENGI.nimepona nimepata jambo kubwa sana . 1
  • @
    @estherwambui4908منذ 3 سنوات Praise Jesus.jina langu in Esther niko Kenya.nimekuwa ni kifuatilia mafundisho yenu nanime barikiwa sana mungu awa bariki sana.Mutumishi Wa mungu nilikuwa id="hidden1" class="buttons"> ninaomba unisaindie na shule ya theology yenye inaeza nifundisha mambo ya mungu vizuri.nimeenda shule ya theology hapa kwetu but niingetaka bado kuongezewa hekima zaidi,nisome na ya Tanzania sasa.ningeomba unisaindie vile unaeza uni connect na zenye ninaeza some a online.plz naomba na uta barikiwa na Mungu. Neno LA Mungu linasema wanaomtafuta kwa bidii watampata. ....وسعت
  • @
    @anifasifa6150منذ 3 سنوات Mungu atutiye nguvu. Aksanti mchungaji mafundisho mazuri hayo.Nimehelimuka sana kwa jambo la kuwa na face mbili.maono makubwa Baba. Ubarikiwe zaidi
  • @
    @Grace-zw5jjمنذ 3 سنوات Asante sana Min. Sunbella. imenigusa na kunihusu sana. Pia imeconfirm you are the right person. Mtumishi WA kweli WA Mungu. Ni vizuri kutest every spirit. Be blessed in everything you do.
  • @
    @everlineeva594منذ 3 سنوات Ameeen hayo maubiri yame nilenga mimi ,mtumishi najitoa sana kuwa saidia watu hata na kusimama na huduma ya mungu ,,but nahandamwa sana na mikosi sana 1
  • @
    @delishbby8542منذ 3 سنوات Spiritual world is more really than physical world 1
  • @
    @edwigemwigha1542منذ 3 سنوات Mtumishi wa Mungu shukrani kwa Mungu aliye kuweka kwa kazi yake. Somo hilo naamini inanihusu pia. Kupitia somo hii naomba rehema ya Mungu na kupitia moambi id="hidden5" class="buttons"> yako Mutumishi niponyeshwe hii maumivu ya miguu wangu wakuume aksanti ....وسعت
  • @
    @irenefrank2644منذ 3 سنوات Naelewa sana mafundisho sijutii kuabudu reality mungu akutunze vyema baba
  • @
    @janembalinga7074منذ 3 سنوات Nawezaje kukuona mtumishi ?tafadhali msaada 1