@ghadnehamed9138منذ 4 سنواتNi wewe tu lissu. Mungu akuweke Uwatoe taka za maskio wasojijua 4
@
@neemamwakatika12منذ 4 سنواتWatz mkilogwa tu mkachagua ndudu hii hapo mnapigwa lockdown hata kabla ya kuapishwa. 1
@
@khamissnassor1462منذ 4 سنواتMwendo ni ule hapa tunaskiliza madongo makali af tukitoka hapo tunaenda upande wa kijani kucheki show ya mondi
@
@kalufunyangenyakinyungu5087منذ 4 سنواتKwa JPM bado saana,akasome ,hamfikii hata nusu yupo robo bado 1
@
@emmanuelmosha2278منذ 4 سنواتUtaskia wanasema maanamano, je yule anaefanyia mikutano katikati ya barabara hawamuoni 4
@
@edwardlutema6006منذ 4 سنواتUkweli ni kwamb hamna wapiga kula uchaguzi huu myspiwa vibaya sana
@
@julianamasunga700منذ 4 سنواتNgoja mwenye nchi aendeee morogoro .ndiyo utaelewa maharange siyo mbongaaa.
@
@chajanevatv4546منذ 4 سنواتwanapeleka maiti au mbona hawaana hata shangwe kwa watu? Chadema mnapoteza mda
@
@aronassom5134منذ 4 سنواتMnyonge mnyongeni haki yake mpeni hapo hakuna msanii hata mmoja lkn raia wanamfata NI yeye 2020 29
@
@fintaniferx9535منذ 4 سنواتDa iv apo ni mjini au? nuyumba zote ni vibanda kweli Africa bado sana 1
@
@mashajafari9765منذ 4 سنواتTokalini ukavakanzu at uvae majoho apati kitu
@
@aggreyenock1221منذ 4 سنواتJamani mh lissu anatumia mda mwingi kuzunguka tatizo vyombo vya habari havina mchango 20
@
@josephatraymond4902منذ 4 سنواتAmna kitu hapo. Boda namilio ya onih ndo et nyomi
@
@eischerschwederm7876منذ 4 سنواتMaskini hata mhemko hakuna..kweli magu kiboko ya uchafu 1
@
@mussamchena9595منذ 4 سنواتToo bad bodaboda mnatumika kizenbe sana 3
@
@theophilbuay4005منذ 4 سنواتMillard ayo huwa hawafiki kwenye mkutano nn? 1
@
@pascalmstaarabu4372منذ 4 سنواتHahahaaaaaa walinipa hela ya mafuta niunge msafara nikaweka wese na nikaacha kwendaaaa hahaaaa hahaaaaa 1
@
@jamalahmed7057منذ 4 سنواتKwa kweli lissu nilifikiraia anajielewa kumbe kaingia choo cha kike,hawezi kushinda uchaguzi huu wenziwe wamejipanga hata akiingia mtaani hawatoweza kushinda watakufa tu
@
@aichaabdul5844منذ 4 سنواتBado hamjafikia pale kwa Lowassa wakati akigombea uraisi kupitia chadema, alikwa na ushawishi mkubwa sana.
@
@sponsor7882منذ 4 سنواتRais ndiye huyu ndugu zangu..hatumii nguvu za wasanii.
@
@pancrasshirimaمنذ 4 سنواتNa hapo hajatumia wasanii ni upendo tu wa wananchi 1
@
@presseg.6362منذ 4 سنواتKumbe ndio mnawaita watu! Kwa jembe letu magu huwa watu wameshakaa tayari, wanamsubiri! Siyo nyie na masifa yenu! Alafu na maneno yenu ya Faraja kwamba id="hidden2" class="buttons"> hamna wasanii!; wasanii wanaipenda Ccm, sasa nyie chadema mna nini, mmebaki kulalamika na kutukana ....وسعت1
@
@officialstoner771منذ 4 سنواتYaan hao wote wanamsindikiza tu hajui mchezo wao 1
@gracemima5234منذ 4 سنواتKataa kudanganywa. Tundu Lissu ni kibaraka
@
@NoorAhmed-lg8xrمنذ 4 سنواتHizo ni mbio za sakafuni subiri Oct 28 ndipo utakapofunga domo lako tushakwambi hatudanganyiki
@
@gracemima5234منذ 4 سنواتAngalia barabara za Magufuli raha tupu. Hakuna vumbi. Kisha anasema atamuondowa Ikulu. ATAWEZA. KWELI? HAWEZI
@
@shukurumwalukopetro6757منذ 4 سنواتJe hao boda wamejaziwa mafuta! Wamekusanya vikiweni au wamejitoa kwa upendo kwa hadema?
@
@thatlustyidiot9418منذ 4 سنواتHatutaki kungwa macho na lisu chagua magufuli = maendeleo ya tanzania 5
@
@ibrahimimu5978منذ 4 سنواتNyie nyote mngelikua mpo kwenye Nchi inayotambua na Kuheshimu Uhuru wa Habari, Basi Mngefungiwa nyote. Sasa hii ndio nini?? Kwahivyo ulikusudia Uwaonyeshe Watu Msafara tu. shame on you. 1
@
@yassiniferuzi2867منذ 4 سنواتMgombea Urais wa ACACCIA kupitia kivuli cha CHADEMA hatuchagui Rais wa kwenye gunia huyo atakuwa Rais wa Kafara Kuwadi wa ACACCIA atauza Nchi tayari tuna id="hidden4" class="buttons"> Rais JPM anatosha huyo wa kwenye gunia wa kafara aende Ubeligiji hapa kwetu hatufai akapige pasi tu .JPM Hoyeeeeeeeeeeee Kuwadi Lissu ziiiiiiiiiiiiiiloooooooo ashindwe na aleegee mneo ....وسعت
@
@charlesmaghuha5853منذ 4 سنواتDavid silinde wa tunduma kamfunika vibaya lisu, naskia kelele tu, sioni watu mimi 8
@
@titosanga5447منذ 4 سنواتMwaka huu uhakika ikulu ni ya chadema. 7
@
@naimumwahu7723منذ 4 سنواتHuyo mwenye baiskel alitendewa nn na ccm hadi kakanyaga baik ivo 3
@
@abdallahmuttaq7306منذ 4 سنواتMbna mnalazimisha watu wenyewe wala hawana story 3
@
@eliamwasomola5074منذ 4 سنواتNinavyo mfaham mkuu Wa chama dola anae miliki mapolisi tume ya uchaguzi atakapo tangazwa ameshinda angali hajashinda wengi tutajuta kuzaliwa maana no Mzee id="hidden5" class="buttons"> Wa visasi watu watafilisiwa wataumizwa magereza zitajaa wanao mkosoa jiandaeni ....وسعت7
@
@maspro6294منذ 4 سنواتWewe kibaraka wa mabeberu hakuna wa kuwapa inchi nyinyi mtabaki kubwaka kama mbwa koko wewe labda uwe Rais wa kuzibua vyoo na mashoga sio kuongoza inchi wewe uraisi kwako Sawa na katia maji kwenye pakacha 2
@
@allycube7903منذ 4 سنواتHoo hatutaki maendeleo ya vitu tunataka maendeleo ya watu barabara sie za nin acha barabara na madaraja yampigie kura saiz anatambaa kwenye barabara anazo tengeneza maguful na ccm kwel jamaa anaitaj mirembe 10
مقاطع الفيديو ذات الصلة على TAZAMA MAPOKEZI YA TUNDU LISSU MOROGORO KUANZIA MSAMVU MPAKA MASHUJAA:
Uwatoe taka za maskio wasojijua 4
NI yeye 2020 29