المدة الزمنية 30:14

JWTZ na JESHI la MAREKANI Baada ya MAFUNZO ya PAMOJA ya KUKABILIANA na UHALIFU, WAFANYA HAFLA..

بواسطة Global TV Online
12 262 مشاهدة
0
68
تم نشره في 2021/09/10

JWTZ na JESHI la MAREKANI Baada ya MAFUNZO ya PAMOJA ya KUKABILIANA na UHALIFU, WAFANYA HAFLA.. Mafunzo ya Makomandoo (PTC) yamefungwa leo Septemba 10, Kunduchi jijini Dar es salaam. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30
  • @
    @chagogegereka2889منذ 3 سنوات Hapo ndipo wanapo pandikizwa wanajeshi wa Tanzania Kuwa vibaraka wamarekani 3
  • @
    @MohamedHassan-zc5blمنذ 3 سنوات Sijui hawa wamerekani Wana maslahi gani na nchi za kiafrica?kila nchi wa afrika wameweka base 3
  • @
    @SM-fu1yvمنذ 3 سنوات Mamaaa Duh mmarekani yupo Tanzania sasa
  • @
    @yohanajoseph5773منذ 3 سنوات Hongera Sana jeshi la jwt kuweka sawa inchi yetu 1
  • @
    @shinipapaya846منذ 3 سنوات Nimeota ndoto mbaya sana wanaogopa atazaliwa new MAGUFULI maana aliwatingisha vibaya mnoooo
  • @
    @emmadeprincetv6133منذ 3 سنوات Mna urafiki na mmarekanikifuatacho mjipange kimtindo adui yako ndio rafiki yako. mtaitafakari kaulu ya Jk kikwete natumain umeelewa wamekubali kutoa jasho kuwafundisha ili mtafunwe vizuri anyway nisiongee sana Mungu pekee atusimamiee vyemadaima nitaifia ....وسعت 1
  • @
    @salamanhonya9677منذ 3 سنوات Hongera kwenu Jeshi la JWTZ.MUNGU Ibariki Tanzania, MUNGU Ibariki Afrika. 2
  • @
    @swala2170منذ 3 سنوات Majambazi number one ndiyo hao hao!
    Na kwa madharau mengi wamarekani wote hawakuvaa kofia.
  • @
    @bashaakumaarpandan9021منذ 3 سنوات Mazoezi ya pamoja ninayoyajua mm ni Marekan na korea ya kusini full vifaru na ndege za kivita 1
  • @
    @ibnhassan9980منذ 3 سنوات Mzungu anamsaluti mtu mweusi tena bila ya kofia 1
  • @
    @ndimimaskati3641منذ 3 سنوات MNAJITAYARISHA IKIFIKA WAKATI WA UCHAGUZI MKAUWE WAZANZIBARI KATIKA NCHI YAO. 2