المدة الزمنية 12:55

TUMEAGIZA DAWA YA CORONA MADAGASCA, TUTATUMA NDEGE WATANZANIA WANUFAIKE

بواسطة Millard Ayo
110 138 مشاهدة
0
863
تعليقات - 309
  • @
    @laiyahassan769منذ 4 سنوات A victory speech.that is A president.god bless this Man.leave long JPM.
  • @
    @shaddybmc8342منذ 4 سنوات Tunaompenda Mheshimiwa Rais wetu mzuri sana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Dr. John p Magufuli Gonga LIKE hapa Chini. 147
  • @
    @saidmarley4049منذ 4 سنوات THAT THE POINT MR.PRESIDENT!!!! ALWAYS TRUST IN GOD NO MATTER WHAT!!!!IF WE FORGOT GOD AND FEAR CORONA HOW WILL GOD HELP US AGAINST THIS VIRUS!!! MR.PRESIDENT id="hidden1" class="buttons"> YOU ARE THE REAL LION OF AFRICA BECAUSE YOU STAND WITH THE FACTS AND TRUTH WITHOUT FEAR!!! GOD BLESS YOU!!!! ....وسعت
  • @
    @rashidmlunga6145منذ 4 سنوات Mm nilipenda hiyo statement yako My Rais kumuomba Mungu ni jambo jema sana upo vzr Mungu akulinde 8
  • @
    @sethmbeke9728منذ 4 سنوات Nawaombeni wafrika tusiamini DAWA kutoka Madagascar, WHO wanafahamu jinsi gani wafrika hawapotayari kupokea chanjo kutoka kwao japokuwa mpango wakuwaangamiza id="hidden2" class="buttons"> wafrika nakuwa na Africa bila wafrika ni dhamira yao ambayo hawalali bila kufikiria kila namna yakuitekeleza, koo WHO bado inaweza kushushia mzigo wake wa sumu Madagascar ili ikasambazwe Africa nzima wakiamini tiba ikipatikana ndani ya Africa wafrika wataipokea. Ndugu zangu sio ujinga tukiweka mashaka yetu juu ya DAWA hiyo ya Covid Organic. Ningependekeza kwa kipindi hiki tusiamini misaada yoyote kutoka nje kwani hatutotambuwa upi msaada bora!! machine, barakoa, nk. Kwa kipindi hiki ni bora kila nchi ingejitahidi kupambana kujitegemea kiuchumi, kutegemea Mwenyezi Mungu na ma daktari wa ndani kupata DAWA(tiba), kubuni vipimo(machine) nk. Tuendelee kufwatilia mashauri ya wataalam wa afya, na taarifa za wizara ya afya ....وسعت 3
  • @
    @MachembaMediaمنذ 4 سنوات Mzee kikohozi vipi, au vumbi la chato hilo,
    Nice speech kwa kweli. Ndio maana watanzania wakakuchagua uwaongoze. Huwa huyumbagi kwa mambo ya mpito, id="hidden3" class="buttons"> nimependa kuhusu lock down tena ungekuwa vyema kama ungewataja tu.
    Uganda: lock down wananchi wanakufa kwa njaa, wengine wanafia kwenye mavarangati ya kugombania chakula. Ubakaji kwa mabinti na unyanyasaji wa kingono kufuatia baa la njaa. Ongezeko la wauzaji miili, hasa maeneo ya mipakani na vituo vya magari makubwa ya mizigo(sababu njia za utafutaji zimefungwa)
    Kenya: njaa kwa raia, vurugu na uvunjifu wa amani, matukio ya wizi pamoja na walipa kodi kupigwa na askari. Vifo visivyotegemeka n.k
    ....وسعت
  • @
    @clemencechambua8028منذ 4 سنوات Speech nzuri sana , ina point zinazotupa imani kwamba kweli wewe ni Raisi wa nchi yetu 8
  • @
    @nasraabdallah850منذ 4 سنوات nipo nasoma comment nenu tu hapa‍♂️‍⚖️ na kureplies km nawe msoma comment like hapa..tunaamini kwauwezo wa Allah nahili litapita usivunjike moyo rais wetu maguful wew ni jasir 35
  • @
    @neemahamisi4302منذ 4 سنوات Ee Mungu umetupa Raisi kama Nabii Tanzania msaidie mpe afya na maarifa zaidi sisi tutamuombea Ee Mungu msaidie Mlinde na Maadui hasa Wale wa karibu yake amen 3
  • @
    @oswiitvonline6514منذ 4 سنوات Napenda Sana msimamo wako Mh. Rais wetu you're my ever role model. Sisi tupo pamoja na wew mheshimiwa na tunakupenda. 3
  • @
    @mawananasoro4405منذ 4 سنوات Asante mungu umetupa Rais mwenye ufahamu mkubwa mungu akuzidishie baba 9
  • @
    @angukuam3098منذ 4 سنوات Tanzania siham kwa kwel. my president big up 6
  • @
    @johnmwambungu7434منذ 4 سنوات Big up Mh Rais speech yako ni strong and fascinating na watanzania tupo nyuma yako na tunaamini katika hili tutashinda.
  • @
    @alqaasim_a_tz2412منذ 4 سنوات KUMBE Mheshimiwa amejificha mpaka kwenye Magroup yetu , Dah kweli huyu ni jembe na ninamkubali kwa Mikono miwili usikute kwenye Magroup anachangia kama id="hidden6" class="buttons"> msela wa kariakoo kumbe ANATAFTA Kujua matatizo ya Raia wake , Hongera Mheshimiwa umebakisha Jambo moja tu maana hapa Umeshaa funika , ila soma na Huyo Daniel sio Daniel ni Yona au Yunusu sawa mzee ? Uko vizuri Sana ....وسعت 8
  • @
    @ferouzmasoud4741منذ 4 سنوات Asante BABA magu,,,,Mw/Mungu tunaomba utuepushie na janga hili katka NCHI yetu na Dunian kote 3
  • @
    @omanoman728منذ 4 سنوات mung akupe maish malefu rais wetu endelea kudum katik kz yk mzee bab ❤❤ 19
  • @
    @joycebetuely6217منذ 4 سنوات Mungu akujalie maisha marefu RAIS WETU.Tunakuombea uishi miaka mingi kwakweli ..MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU MBARIKI RAIS WETU 1
  • @
    @c.bproduction2576منذ 4 سنوات GOOD. .KANISA LA SINAI MISSIONS INTERNATIONAL TAWI LA TEMBONI SINAI PENTECOSTAL CENTRE TUNAZIDI KUMLILIA MUNGU KATIKA JINA LA YESU ILI AKULINDE SANA RAIS WETU KIPENZI AMEN 4
  • @
    @ashazaharan1750منذ 4 سنوات Alhamdulillah Allah akumpe umri mrefu rais wetu 2
  • @
    @husnahassan6289منذ 4 سنوات Ww ni zaidi ya rais baba nakuombe Mungu akuongoze zaidi na zaidi Ameen 13
  • @
    @husseinalawi8045منذ 4 سنوات Mungu atajalia itatusaidia iyo dawa inshallah 18
  • @
    @piensianamalindi99منذ 4 سنوات Kura yangu mwaka huu lazima upate.huteteleshwi na vimanenomaneno always you be strong.I love you forever 2
  • @
    @eischerschwederm7876منذ 4 سنوات Mbowe zitto sio viongozi big up Mbatia the true Opposition..mimi nitakupa kura Mbatia nampenda Maguli na Mbatia as oppotion leader with Morals and understanding..true leader. 5
  • @
    @margarethsolomon9823منذ 4 سنوات Points. I appreciate it. Big up my President Tingatinga, Burudoza Hapa kazi tu. Love you.
  • @
    @jacksonsindoma9117منذ 4 سنوات Hata mazishi ya usiku ni kutia watu presha tu.Maiti za wapendwa wetu yaweza kuhifadhiwa vizuri na kusafirishwa hata na gali 1 maalum zikazikwa kule familia ilipochagua. 26
  • @
    @leahrichard6355منذ 4 سنوات Asante sana Rais wetu kwa hotuba nzuri,Mungu mjalie rais wetu maisha marefu .
  • @
    @temkezatv4381منذ 4 سنوات "Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden10" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت 18
  • @
    @starridge3615منذ 4 سنوات Yona na samaki
    Daniel na simba
    Meshach kina Abednego na moto
    Nipeni like
    22
  • @
    @ellysilwani9287منذ 4 سنوات Waafrika tupende vya kwetu, sio kilakitu kitokacho ulaya ndo kipo sahihi,najua wasomi wanasayansi hapa Tanzania na Afrika nzima mko vizuri,uzalendo kwanza id="hidden11" class="buttons"> tafuteni dawa(tiba) ya hili janga,tafuteni chanjo pia Nina imani mnaweza wataalam wetu.Mungu ibariki Tanzania,Mungu bariki wataalam wetu . ....وسعت 7
  • @
    @ibrahimadam870منذ 4 سنوات Asante rais tuombe mungu iyo dawa itusaidie 1
  • @
    @mr.josephnyandamasanja6072منذ 4 سنوات Mungu ibariki Tanzania. Mungu wabariki viongozi wote
    Mbariki raisi wetu
    1
  • @
    @farijalambaga9600منذ 4 سنوات Mzee pole na majukumu baba,niseme tu changamoto unazokutana nazo Huwa Mungu hufanya jambo kwa maksudi,huwenda alikufanya wakati wako wa kuwa rais iwe ni id="hidden12" class="buttons"> kipindi hiki kikugu kwa makusudi.alijua kuna gonjwa litazuka, na hii nchi inahitaji kupata kiongozi MWAMBA katika hiko kipindi cha hilo janga.ivyo mzee piga kazi.haupo kwa bahati mbaya,Upo kwa makusudi ya Mungu,Mungu akutangulie nakuendelea kukupa maarifa yakukabiliana na mitihan anayokuletea,sina nyongeza ni hayo tu Jemedari. ....وسعت
  • @
    @jacoboester4536منذ 4 سنوات Dah Mungu akupe nguvu, afya na miaka mingi we ni zawadi Mungu alie tupa 20
  • @
    @janethkasanga1058منذ 4 سنوات Eeeh MUNGU mjalie maisha malefu raisi wetu 33
  • @
    @dicksonboniphace1113منذ 4 سنوات kutokana na hili sasa Taifa liinuke na nguvu mpya
    Asante mheshimiwa Rais
    22
  • @
    @jacobemmanuel8375منذ 4 سنوات Kweli mheshimiwa, Ayo Tv Bigup sanaaaa 1
  • @
    @farhiyaareef9518منذ 4 سنوات Mungu ampe nguvu huyu baba, yaan nikiskiaga hotuba zake huwa nafarijia mno, mungu atusaidie tupite hili janga, na ampe ujasiri wa kufanya maamuzi sahihi muda woote, mungu ibariki Tanzania na africa kwa ujumla.
  • @
    @senipetrotv6127منذ 4 سنوات "Mambo ya kucopy na kupest hatuwezi kuyakubali nchi kwetu" 12
  • @
    @furahafedrick8501منذ 4 سنوات Nakupenda sn raisi wetu mungu akuzidishie miaka mingi sn tn sn 1
  • @
    @veronicanyamhanga2654منذ 4 سنوات Mungu akupe maish marefu zaiiiiiiiii..!MH JPM
  • @
    @teddymwageni1763منذ 4 سنوات Mungu akulinde rais wetu wewe u mwema kwetu
  • @
    @saighilunyangusi4986منذ 4 سنوات Mwenyezi Mungu mkuu tunakushukuru kwa kila Jambo, mlinde rais wetu uliyetupatia sawa na mapenzi Mungu! 8
  • @
    @deekiwangofire1927منذ 4 سنوات Mungu ilinde Tanzania daima rapper from mwanza dee kiwango 11
  • @
    @fanueledmund6408منذ 4 سنوات Mungu akubariki sana na mh mazishi ya usiku yanawashtua watu wengi nakuunga mkono sana pia. Pia nakuomba mh rais jaribu kuwafuatilia viongozi wako kwa id="hidden14" class="buttons"> undani zaidi wamikoa mfano jana tar 3/05/2020 kumetokea ajali maeneo ya hale Tanga muda saakumi mchana gari ikaziba njia lakini magari hayo yamekaa barabarani mpaka saatatu na nusu usiku hakuna gari inayopita kwakua njia imefungwa . Mungu akubariki sana. ....وسعت
  • @
    @nkelamei2870منذ 4 سنوات Wewe ni raisi wadunia siyo Tanzania tu 12
  • @
    @zenaycechanzinho6702منذ 4 سنوات Kiukwel this time U dd it..Mr President..well done salute..honestly mm cjawah kuona Rais ambae ni mgumu na mtenda kaz sawasawa kma ww yaan una maamuz magumu id="hidden15" class="buttons"> na yenye hekma ..unaipend nch yako/yetu na unatupenda wananch wako.mm next election nakupa kura yang. Insha Allah ....وسعت
  • @
    @eischerschwederm7876منذ 4 سنوات Dini Biashara tu mbona, yaani Mungu atatuchoma siku ya mwisho,.. love you JPM 1
  • @
    @issakabelege4800منذ 4 سنوات MUNGU ibariki tanzanzania mungu tubaliki wana inchi natuepushe NA korona inshallah
  • @
    @jamesngolly2278منذ 4 سنوات Mungu akupe maisha marefu sana mheshimiwa rais
  • @
    @jestinakanji8168منذ 4 سنوات Mh.hizo dawa nazo zipimwe kabla hazijatumika.itapendeza au wenzangu munasemaje 38
  • @
    @swaumuselemani8243منذ 4 سنوات Mungu akupe maisha marefu raisi wetu.Unatujali sana watu wako hususani sisi watu wachini barikiwa sana
  • @
    @shirukhanshirukhan4564منذ 4 سنوات Asante kwer kabisa iman zaviongoz wetu ziko chini nyumba zaibad wanazifung nakeleka sana yeye ndo wakumuwomba leo tuna funga nyumba zake zaibada iman ila ipo sk mtajua umuhim wa nyumba zaibad
  • @
    @eaglecrown2479منذ 4 سنوات Dadeki huyo ndio mwanaume kuliko mwanaume unakaa kulilia kufungiwa ndani kazi kulambalamba miguu ya watu weupe Kila kitu ulaya upuuzi tu acheni kupenda id="hidden17" class="buttons"> seleleko jamani wanaume Kama madada jamani kwani Africa bila wazungu haikaliki kwani??? ....وسعت 8
  • @
    @kinghagai6393منذ 4 سنوات Magufuli unajua sana
    Kwaajili ya wajingajinga tuu wanaopandikiza maneno machafu kwa watu wako ndio sababu yanakuwa hivo
    Barikiwa sana RAISI MTEULE
    1
  • @
    @arlonmasanja7797منذ 4 سنوات "Utalipwa na Mabeberu hao wanaokutumia".bora Umemchana live aiseee 2
  • @
    @wakubwatu1535منذ 4 سنوات Mh. Rais hongera kwa hili niko nawe kabisa namuasa mh. Mbowe aache kuivuruga chadema kama kachoka atupishe sisi tunaweka mbele uzarendo mbele wala si siasa id="hidden19" class="buttons"> hivo kupongezwa kwa mbatia ni hali yake ameonyesha uzarendo kwanza hongera sana mbowe jitasimini kama unatosha kuongoza chadema tumegundua wewe ndo tatizo acha ubabe unawapa usumbufu wabunge wa chadema unaua chama ....وسعت 1
  • @
    @kessylizzy7439منذ 4 سنوات mungu tusaidie ubarikiwe sana mzee magumungu ibariki Tanzania 12
  • @
    @channel10magicfm26منذ 4 سنوات Mpeni Baba Maji amepaliwa. Hongera Mheshimiwa Rais Magufuli. 1
  • @
    @christinenelima2641منذ 4 سنوات Naomba mungu atupe rais kama magufuli.rais muja mungu 10
  • @
    @godfreysanga6091منذ 4 سنوات Mheshimiwa kwani Zanzibar hauji jamaniiiii .kila kitu dah!!!!!njooo Zanzibar 2
  • @
    @elinurusombi9621منذ 4 سنوات Kweli Baba asante Anaweza ni Mungu tu.
  • @
    @robinsoncharles4411منذ 4 سنوات Mungu endelea kumfunulia mengi ktk maisha yake na uongozi wake
  • @
    @leaherasto929منذ 4 سنوات Rais wangu nakupenda sana Mungu akulinde kwaajili yetu sisi wanyonge 8
  • @
    @leith87seif55منذ 4 سنوات Nimefurahi sana kama hii dawa ya madagascar imeagizishwa may be inaaweza kusaidia manake kuna nchi nao wameagiza pia 3
  • @
    @maryamallyjum3229منذ 4 سنوات Mm naunga mkono mwenye Iman ya kweli aogopi kufa ila tyu kungekuwa na utaratibu maalum kwa masoko
  • @
    @byaruremabest6816منذ 4 سنوات ww nibaba wawatu mungu akubariki sana ww nafamilia yako
  • @
    @captendunga1392منذ 4 سنوات weee ongeaaaaa fungukaaaaaa rukarukaaaaa ila ukae ukijua muda wa kustaafu ukifika tutaandamana mpaka ubaki kwenye hiyo kz hadi mungu apende. tuseme inshaallah. 3
  • @
    @mwajumanjanga4370منذ 4 سنوات Mashaalla Allah azidi kukupa pumzi na afya njema rais wetu mzuri
  • @
    @Oman-ik1beمنذ 4 سنوات Allah hatulinde na hili janga inshaallah mungu atatuepusha
  • @
    @nasraabdallah850منذ 4 سنوات Amiin Mwenyez mung atatusaidia iwe yenyekutibu inn shaallah 8
  • @
    @sofiaperpetua7869منذ 4 سنوات Hapa kazi tu,, kwa kwenda mbele, Corona Tuache tuko bze,, 2