المدة الزمنية 4:21

Wito wa kuwachangia Uamsho

بواسطة Gumzo la Ghassani
11 566 مشاهدة
0
56
تم نشره في 2021/04/11

Kesi Namba 121 dhidi za viongozi wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu na Uamsho inasikilizwa kuanzia Jumatatu ya tarehe 12 hadi 28 Aprili 2021 mfululizo. Ili kuwaweka mawakili jijini Dar es Salaam kwa siku hizo, zinahitajika shilingi milioni tatu za Kitanzania (3,000,000). Tafadhali tuma sadaka yako kupitia nambari za simu zifuatazo: 0713 379 140 (SALMA SAID) na 0778 428 028 (MARYAM KHAMIS)

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 42